LIVE Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel, Palestine Gaza na Iran
Live coverage on JamiiForums
Inakuwaje wanajamvi!

Mwanamke mpalestina amemlaani kiongozi wa Hamas Yahya sinwar pamoja na hilo kundi la kigaidi Hamas live kwenye matangazo ya Aljazeera.
"May Allah curse you, Sinwar and Hamas,".

Mwanamke huyo alijitokeza live kwenye Camera ambapo mwandishi wa Aljazeera alipokuwa anatangaza moja kwa moja kutoka Gaza. Na kuanza kulaani huku akilia baadaye kuburuzwa na mwanamme mmoja kutoka kwenye Camera.

Na hii siyo mara ya Kwanza wapalestina kulaani Hamas aljazeera na kujitahidi kuficha.

Mwezi wa nne majeruhi Hospitalini akihojiwa live na Aljazeera aliwalaani Hamas na kuwashutumu kwa kujificha katikati ya raia na aljazeera kukata matangazo.

View: https://x.com/IhabHassane/status/1825959657795719391

Mbona wale wanaomlaani nyau huwaleti? Wapo kwa maelfu dunia nzima.
 
Vipi hii hukuiona , au hujui sasahivi netanyahu hata mawaziri wake hawamuamini na kwamba anatetea maslahi yake kuliko ya jews
Nenda kaangalie mkutano wa democrats jews walivamia wakipinga marekani kumpa silaha netanyahu kwa kutumia jina la jews
 
Attachments

  • Screenshot_20240821-225757_Chrome.jpg
    Screenshot_20240821-225757_Chrome.jpg
    465.7 KB · Views: 1
Ukweli ni kwamba asilimia kubwa ya wapelestina wamechoka na vitendo vya ovyo vya Hamas ni vile waaandishi wa habari hasa wa Al Jazeera wanapotosha, sehemu nyingi wanazo operate Kuna mikusanyiko wa watu na wanalazimishwa kuwepo hapo ili kutumia kama ngao na ukikaidi unakuuliwa sasa huu ni upumbavu wa Hali ya juu mtu mwenye akili timamu haiwezi kuuvumilia.
 
Huo ndio uhalisia pale Gaza watu wengi sana wanailaumu hamas wangependa kuwa na maisha Yao ya kawaida ila hamas Ina wa drag kwenye vita same to Israel Kuna watu wengi wangependa kuona suluhisho zuri zaidi ya kurusha mabomu pale Gaza ila Netanyahu kachagua mabomu
Hii iko hata hapa Tanzania Kuna waislam wengi na wakristo wangependa kuona hii vita inaisha bila kutafuta mshindi ni nani ila Kuna kina Faiza (bibi) ye ham yake ni damu Kila wakati anatafuta mshindi na mwenzake MK wao wanatamani vita TU
Huyo mama nimempenda kabisa
 
Unatakaje kuwa na maisha ya kawaida wakati nchi yako inakaliwa na wazungu kutoka Ulaya mashabiki na Marekani? Hamas ni freedom seekers na huyo mama ni wapinga uhuru ili waishi Kwa amani.
Hao hata Tanganyika walikuwepo enzi za upinzani dhidi ya wakoloni.
 
Hizo % kubwa ulizipata ukiwa unakusanya wapi hizo data mnapenda kujifanya wajuaji ila hmna mnalojua

Hamas ipo ipo ipo sanaaa bakia na takwimu zako
 
Ukweli ni kwamba asilimia kubwa ya wapelestina wamechoka na vitendo vya ovyo vya Hamas ni vile waaandishi wa habari hasa wa Al Jazeera wanapotosha, sehemu nyingi wanazo operate Kuna mikusanyiko wa watu na wanalazimishwa kuwepo hapo ili kutumia kama ngao na ukikaidi unakuuliwa sasa huu ni upumbavu wa Hali ya juu mtu mwenye akili timamu haiwezi kuuvumilia.
Majuzi Israel imelipua shehena ya silaha za Hezbolah Lebanon, silaha ziliwekwa katikati ya makazi ya watu. Baada ya kulipuliwa silaha zingine zikaanza kuruka kwenye makazi ya watu.
 
Huo ndio uhalisia pale Gaza watu wengi sana wanailaumu hamas wangependa kuwa na maisha Yao ya kawaida ila hamas Ina wa drag kwenye vita same to Israel Kuna watu wengi wangependa kuona suluhisho zuri zaidi ya kurusha mabomu pale Gaza ila Netanyahu kachagua mabomu
Hii iko hata hapa Tanzania Kuna waislam wengi na wakristo wangependa kuona hii vita inaisha bila kutafuta mshindi ni nani ila Kuna kina Faiza (bibi) ye ham yake ni damu Kila wakati anatafuta mshindi na mwenzake MK wao wanatamani vita TU
Huyo mama nimempenda kabisa
Unataka Netanyau afanye nini ikiwa watu wamevamia nchi yako kuua na kuteka maelfu ya raia na hawataki kuwaachia? Ukiwa kiongozi wa nchi hupaswi kuwa soft juu ya mipaka ya nchi yako na usalama wa raia wako.

Nyerere tu aliingia vitani kwa uchokozi mdogo wa namna ile sembuse wa HAMAS kwa Israel? Rudia tena kusoma mzozo wa HAMAS na Israel, HAMAS imeshakataa majadiliano na Israel kitambo tu.
 
Mbona maelfu ya mayahudi wanafunga barabara kila siku huko Israel na kumlaani Netaniahu bibi wala hamsemi ???
Hata hapa TZ watu wanapotezwa na tunaona malalamiko ktk vyombo vya habari.Maisha ndivo yalivo
 
Unatakaje kuwa na maisha ya kawaida wakati nchi yako inakaliwa na wazungu kutoka Ulaya mashabiki na Marekani? Hamas ni freedom seekers na huyo mama ni wapinga uhuru ili waishi Kwa amani.
Hao hata Tanganyika walikuwepo enzi za upinzani dhidi ya wakoloni.
We tanganyika wazungu wangekuepo na kutokuepo we umepata nini zaidi ya tabaka la wezi kula keki peke yao
 
Back
Top Bottom