LIVE Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel, Palestine Gaza na Iran
Live coverage on JamiiForums
Cheki hiyo halafu nayo useme mikono imekosewa, hiyo ni Channel ya Prime Minister.. sikiliza ujumbe kwa makini

View: https://www.youtube.com/watch?v=m6hMiuq4nYI

PM yupo sahihi kabisa. Kuwapenda watu (binadamu)wenzako haimaanishi unaunga mkono vitendo vyao na kufanya kile wanachokifanya. HAPANA.
Mfano mwepesi; fikiria Wewe mtamba wa panya nimekukuta barabarani umeumia au una njaa halafu mimi kama binadamu mwenzako nikakusaidia. Hapo haimaanishi kuwa ninakuunga mkono katika mambo unayoyafanya ambayo nayafahamu e.g. unateka watu, unawatesa au kuwapoteza bali nimekusaidia kwa kusukumwa na ubinadamu kwamba na huyu ni mwenzangu; ni binadamu kama mimi na Tabia ya binadamu huweza kubadilika. Kwa mantiki hiyo nimekusaidia kwa kuwa ww ni binadamu na sio eti kwa sababu unateka watu, unawatesa na kuwapoteza. Kwa hiyo hao wanaharakati wa LGBTQ ni watu (binadamu) tunawatambua na hivyo wanastahili kutendewa kwa upendo na kuheshimiwa kama binadamu wengine. PM hajasema tuwaunge mkono kwa hicho wanachofanya.
 
Wewe Umezaliwa Mwaka Gani? Ukumbuki Israel Alishawahi kushambulia vinu vya Nyuklia vya Irani? Au Ulikuwa Ujazaliwa?
Sasa hivi hawezi kwasababu vinu vimesimikwa sehemu ngumu sana kulipua.Mwezi May alijaribu akafeli.
 
ndio maana tunasema amani ni jambo muhimu sana, maana akili na ujeuri Kila mtu anao duniani hapa.

Unaweza ukajifanya you are the best, ukawaonea wenzako kila kukicha ila ipo siku wanaweza kupata dawa yako wakaipenyeza na kukumaliza.
Waambie ccm hivyo kama watakuelewa.
 
hao watoto waliouliwa walitaka wenyewe?
Hebu kaa chini utafakari, usiwe shabiki wa kuhalalisha genocide
Sasa kama hao magaidi Hamas wanapigana kwa kuijificha kwa raia na hospital unategemea nini?
Kwanza wanapigana huku hawana sare ni ngumu kuwatambua hivo ilibidi wao ndio waanze kulinda watoto wao kwa kujitenga na makazi wakiwa wanapigana.
 
Kila mmoja anafurahia kile anachoona kwake ni mafanikio. Tanzania ikirusha communication satellite, bila kujali mawasiliano yatakubali au yatagoma itakuwa imefanikiwa, lakini Marekani hadi lengo la hiyo satellite lifikiwe ndio itaona imefanikiwa. Yemen na wafuasi wa imani yake wanafurahi kurusha kombola angani maana wamefanikiwa, while Israel inajipima mafanikio kwa kuua makamanda na viongozi waandamizi wa Iran, Hamas na Hezbollah
NOMA SANA MKUU...ngoja wafuasi wa imani ya yemen waje hapa sijui utawaambia nini?
 
Ila wapo against na israel na wanaunga mkono ndugu zao katika imani

49211232_605.jpg

Source: Maandamano ya Mashoga Tel Aviv
 
Uache usenge wewe.
Kila mwaka ISRAEL INAFANYA GAY PRIDE PARADE.
KASORO MWAKA HUU TU HAWAJAFANYA KWASABABU ZA KIVITA.
Mna mmebakwa hadi akili nyie jamaa!?
Kila mmoja atapokea hukumu yake mwenyewe.
Hakuna taifa lisilo na dhambi kwenye huu uso wa dunia.
Usiwaite wenzako wasenge, ukiona amekukera sana unampotezea tu
 
Wakristo wa Tanzania wamebakwa hadi akili.
Yani akili zao sijui zikoje aisee!
Mtu unamuonesha hadi ushahidi anakwambia wa kupandikizwa.
Burre kabbissa.
Sioni sababu ya kutukana imani ya mwingine kwa kisingizio cha ushoga.
Ushoga ni dhambi, na kila nchi hapa duniani inao watu wanaofanya ushoga.
Mashoga wapo pia kwenye nchi za kiarabu ndio maana wametunga sheria kuuthibiti. Kama kusingekuwa na ushoga kwenye hizo nchi kusingekuwa na haja ya kutunga sheria hizo.

1 Egypt - up to 17 years in prison.
2 Iran - Prison/Death
3 Turkey - Sort of allowed, but most rights curtailed.
4 Iraq - Officially legal, but people are known to be murdered for being gay.
5 Saudi Arabia - Fines, prison, death.
6 Yemen -Death
7 Syria - Prison
8 Jordan- Sort of allowed, but most rights curtailed.
9 United Arab Emirates - Deportation, prison , death.
10 Libya - Prison, vigilante murder
11 Lebanon - Fewer rights than Turkey, but no official penalties.
12 Oman - Mostly don’t ask don’t tell, no official penalties, but ….
13 Kuwait - Fines/prison
14 Qatar - Fines/ Prison
15 Bahrain - Similar to Turkey.

If the fruit is rotten or poisonous, the tree won’t be judged as being good no matter how beautiful it may seem to be externally.

LGBTQ community in Turkey. 2003
The first Pride was organised in Istanbul in 2003. Pride parades have also been organised in Izmir and in 2019 the ban on Pride events was lifted from the capital city Ankara.
Screenshot_20241008-120307~2.png

Screenshot_20241008-120737~2.png
 
Huo ni mchezo wa kisilamu dogo!
Naona unaupigia debe ushoga!
Huku USWAZI wanafumuana MIKUNJO Hadi wengine mikunjo yote.22 Imesha tatuliwa ni mwendo wa kuvaa pampa xxxl😇😆😆😆
Nakuwekea Ushahidi!; muham mad aka allah Anasema!; yeye ana msamaha na huruma hivyo Kwa wanaume wanafirana wakitengenea waacheni!
👇🏽👇🏽
وَاللَّذَانِ يَأْتِيَانِهَا مِنكُمْ فَآذُوهُمَا ۖ فَإِن تَابَا وَأَصْلَحَا فَأَعْرِضُوا عَنْهُمَا ۗ إِنَّ اللَّهَ كَانَ تَوَّابًا رَّحِيمًا

(AN-NISAAI - 16)
Na wawili kati yenu wafanyao hayo waadhibuni. Na wakitubia wakatengenea basi waacheni. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwingi wa kupokea toba, Mwenye kurehemu.

Hata huku kwetu Uswazi unaitwa mchezo wa kisilamu wanakunjuana Malinda!
 
Sioni sababu ya kutukana imani ya mwingine kwa kisingizio cha ushoga.
Ushoga ni dhambi, na kila nchi hapa duniani inao watu wanaofanya ushoga.
Mashoga wapo pia kwenye nchi za kiarabu ndio maana wametunga sheria kuuthibiti. Kama kusingekuwa na ushoga kwenye hizo nchi kusingekuwa na haja ya kutunga sheria hizo.

1 Egypt - up to 17 years in prison.
2 Iran - Prison/Death
3 Turkey - Sort of allowed, but most rights curtailed.
4 Iraq - Officially legal, but people are known to be murdered for being gay.
5 Saudi Arabia - Fines, prison, death.
6 Yemen -Death
7 Syria - Prison
8 Jordan- Sort of allowed, but most rights curtailed.
9 United Arab Emirates - Deportation, prison , death.
10 Libya - Prison, vigilante murder
11 Lebanon - Fewer rights than Turkey, but no official penalties.
12 Oman - Mostly don’t ask don’t tell, no official penalties, but ….
13 Kuwait - Fines/prison
14 Qatar - Fines/ Prison
15 Bahrain - Similar to Turkey.

If the fruit is rotten or poisonous, the tree won’t be judged as being good no matter how beautiful it may seem to be externally.

LGBTQ community in Turkey. 2003
The first Pride was organised in Istanbul in 2003. Pride parades have also been organised in Izmir and in 2019 the ban on Pride events was lifted from the capital city Ankara.
View attachment 3118640

View attachment 3118643
Hili tukio la Turkiye gay parade nakumbuka lilivyoisha.
Serikali iliwatawanya kwa teargas bombs na ikapiga marufuku gay pride parade hadi leo hii.
 
Mpaka serikali kuchukua hizo hatua maana yake tayari wapo.
Serikali ime ban 2006, lakini gays bado wapo kisiri siri sio kwamba waiisha.
 
Ndio wapo ila nachozungumzia mimi ni uungwaji mkono wa hao watu.
Inamaana wakijidhihirisha ni sawa na wanaungwa mkono mfano Israel wamewawekea hadi sheria zao za kuwalinda.
 
Sioni sababu ya kutukana imani ya mwingine kwa kisingizio cha ushoga.
Ushoga ni dhambi, na kila nchi hapa duniani inao watu wanaofanya ushoga.
Mashoga wapo pia kwenye nchi za kiarabu ndio maana wametunga sheria kuuthibiti. Kama kusingekuwa na ushoga kwenye hizo nchi kusingekuwa na haja ya kutunga sheria hizo.

1 Egypt - up to 17 years in prison.
2 Iran - Prison/Death
3 Turkey - Sort of allowed, but most rights curtailed.
4 Iraq - Officially legal, but people are known to be murdered for being gay.
5 Saudi Arabia - Fines, prison, death.
6 Yemen -Death
7 Syria - Prison
8 Jordan- Sort of allowed, but most rights curtailed.
9 United Arab Emirates - Deportation, prison , death.
10 Libya - Prison, vigilante murder
11 Lebanon - Fewer rights than Turkey, but no official penalties.
12 Oman - Mostly don’t ask don’t tell, no official penalties, but ….
13 Kuwait - Fines/prison
14 Qatar - Fines/ Prison
15 Bahrain - Similar to Turkey.

If the fruit is rotten or poisonous, the tree won’t be judged as being good no matter how beautiful it may seem to be externally.

LGBTQ community in Turkey. 2003
The first Pride was organised in Istanbul in 2003. Pride parades have also been organised in Izmir and in 2019 the ban on Pride events was lifted from the capital city Ankara.
View attachment 3118640

View attachment 3118643
Huyo anaupigia debe ushoga!
Ibn Jarir reported from ibn Abi Mulayka that he was asked about having sex with a women in her rear, so he said: “I wanted to do that last night with a slave girl of mine, but it was hard for me (to penetrate), hence I sought the assistance of oil.”

Al-Khatib reported in Ruwati Malik from Abi Sulayman Al-Juzjani, who said: I asked Malik bin Anas about sex with women in their rear, so he said: “(I just did this act) and have just washed my head.” (Al-Suyuti Al-Durr Al-Manthur Fi Tafsir Bil-Ma’thur, Volume 2, p. 612)

“Ibn Abbas narrates that Hadhrath Umar went before Rasulullah (s) and “Master I am destroyed!’. Rasulullah (s) asked ‘what thing has destroyed you?’. Umar replied last night I had anal sex. Rasulullah (s) did not give a reply to Umar, then Allah (swt) sent down this revelation “Your wives are as a tilth unto you; so approach your tilth when or how ye will; the words ‘kabool wa Dhabar’ (the anus is accepted)”

Jami al Tirmidhi, Bab al Tafseer Volume 2, page 382, ‘Ayat Hars’
 
Kila mmoja atapokea hukumu yake mwenyewe.
Hakuna taifa lisilo na dhambi kwenye huu uso wa dunia.
Usiwaite wenzako wasenge, ukiona amekukera sana unampotezea tu
🙏🙏🙏Kuna mitazamo na kuna upofu wa fikra.
Huyu jamaa kichwani nahisi ana tatizo.
 
Back
Top Bottom