LIVE Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel, Palestine Gaza na Iran
Live coverage on JamiiForums
Hilo nalijua vizuri Kama wao ndio waliomkataa na kumsurubisha yesu kristo,na hii haindoi uharisia kuwa Jesus Christ is the Messiah


huyo masihi wanayemsubiria,Ni ujio wa pili wa yesu kristo,ndo wataamini kuwa Jesus Christ is the Messiah.
IDF wana advance
 
Lugha Yao Toka mwanzo ni kwamba hawataacha kurusha rockets mpaka IDF watakapositisha operation Gaza naona lugha inaanza kubadilika na mm nasema hakuna Cha ceasefire IDF pelekea moto hao wapumbavu
Hivi umeelewa nilicha andika kweli
 
Kwa mazingira yaliyopo ni suala la muda tu, Iran akiachwa maana yake Israel utaishi kwa shida sana, kila siku itakuwa inapigana na makundi ya kigaidi.
Ndio ameshaachwa sasa maana wanamuogopa...
 
Ndo maana nikakwambia sijaona alipo tema bungo maelezo yamekamilika.

(In any case, after the issue of a ceasefire takes shape, and once diplomacy can achieve it, all of the other details can be discussed and decisions can be taken,” Qassem said. “If the enemy [Israel] continues its war, then the battlefield will decide.”)
He is next to be killed
 
Hata Ukraine imeingia Kursk ila haijawafanya washinde ,ni suala la muda tuh mpira kugeuka
 
Hamas washukuru nchi zinazopakana na Gaza kuwakataa wapelestina maana huo mrundikano wa raia unawapa faida sana wakiambiwa waende north wanaenda nao raia wakiambiwa warudi south Hamas wanajichanganya nao tofauti na Lebanon kule raia wanauwezo wa kwenda Syria ama northern Lebanon hivyo kuwa expose Hizbullah kutoka kwenye kichapo Cha IDF.
Niliwahi kukwambia ulete ushahidi wa Hamas kujificha nyuma ya raia ukashindwa.
Futa hiyo kauli yako,kama Hamas ingekua inajificha nyuma ya raia isingetia wanajeshi 70k wa Israel ulemavu.
 
Niliwahi kukwambia ulete ushahidi wa Hamas kujificha nyuma ya raia ukashindwa.
Futa hiyo kauli yako,kama Hamas ingekua inajificha nyuma ya raia isingetia wanajeshi 70k wa Israel ulemavu.
Hamas hawana kambi na IDF ni jeshi lenye nidhamu na weledi wa hali ya juu sana wao sio wajinga mpaka waue wapelestina 42000 mpaka muda huu wanajitahidi sana kuepusha maafa ya raia ila ndio hivyo hao wapumbavu wa Hamas wanajificha ktkat Yao hivyo IDF wanaona hakuna namna .
 
Hamas hawana kambi na IDF ni jeshi lenye nidhamu na weledi wa hali ya juu sana wao sio wajinga mpaka waue wapelestina 42000 mpaka muda huu wanajitahidi sana kuepusha maafa ya raia ila ndio hivyo hao wapumbavu wa Hamas wanajificha ktkat Yao hivyo IDF wanaona hakuna namna .
Hamas wapo ndani ya mahandaki.
Mbona hawakuingia na kuwafuata!?
Unasema kuwa IDF wana uweledi,nilikuletea taarifa za IDF kuua wanawake wanne kanisani tena kwa SNIPER,je huo ndio uweledi!?
Nilikuletea taarita ya IDF kuua raia wao wenyewe watatu ambao walitoa ishara ya msaada wakiwa tumbo wazi je huo ndio uweledi!?
Nilikuletea ushahidi wa IDF kulipua gari la waandishi wa habari ambao walikua wapo nje ya eneo la mapigano,je huo ndio uweledi!?
Nilikuletea na taarifa ya IDF kulipua nyumba ya French embassy official je huo nao ndio uweledi!??
Bro embu tumia akili sio matope.
 
Back
Top Bottom