Yanayojiri Mapokezi ya Makamu Mwenyekiti CHADEMA Tundu Lissu, na Mkutano wa Hadhara Temeke Leo Jumatano 25/1/2023

Karibu Sana nyumbani MH Tundu Lissy umepitia magumu Sana kiongozi.Namshukuru pia Allah kwa uhai wako Tundu Lissu na pia MH Rais Samia Suluhu kwa unyenyekevu na uungwana wa kutuunganisha watanzania pamoja Allah azidi kumjaalia hekima.
 
Amen
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…