ndolelejiUduhe
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,837
- 3,027
Duh 🙄!Kwa niaba ya wafuasi wa itikadi ya hayati Magufuli tumpongeza sana Tundu lissu kwa usindi alio upata
Tofauti zetu haziwezi ziui yeye kuchukua dola 2025 , tuko pamoja nae
Hongera Tundu lissu
Ombi lako ni Mungu amfanyeje huyu maza Abdu?Mungu afanye maamuzi yake kwa mama abduli
Kasoro kushabikia Gusa achia tubaki makundiHuwa nachagua vitu vya maana na vizuri.
Sawa mkuu nakuja😃😃
Nimecheka kwa sauti
Naanzaje kamanda?
Makange nayapenda Ila kuja PM naogopa 😃
Na kila mtu aseme Ameeeen hata kama ni mchawi.Na amzungushie ulinzi wa Malaika...Mungu tunaomba uitendee Tanzania kama ulivoitendea marekani
Ameen, kisasi ni juu yake, yeye Bwana atalipa. Atawalipa wale wooote walioichafua Tanzania kwa kumwaga damu zisizo na hatia.Mungu azikimbuke damu za watu zilizomwagwa bila hatia Na damu za watoto waliopotea aitendee Haki Tanzania
Na mimi humohumo, ntakutumia mapicha PM. Mimi ntachukua na ndizi pia.Mimi badae naagiza kitimoto Na pepsi
near death experience!!! that's a hell of thing. so basically you say the guy almost came into hell door viz a vizNatoa rai mapema baada ya ushindi huu wa lissu.
Yale tuliyo yaona ya Biden kuondolewa kwenye kinyanganyiro ndani ya chama chake yawezekana yakatokea na Tz mwaka huu.
Kuna jambo kiroho liko nyuma ya ushindi wa Lissu.
Ile roho iliyoko ndani yake ikipandikizwa kwa usahihi kwa wanachama wake kama ilivo kuwa kwa Yeshua. Tutegemee kuona mabadiliko ya siasa za kistaarabu kwenda siasa za kushawishi kwa nguvu.
Huyu Mwanaume ana near death experience watu wa hivi kiroho wana jambo la kustaajabisha mno.
My Take Chama Tawala wasifanye mambo kwa mazoea. Hili litagharimu taifa sana sana.
Kama asemavyo Kaka Paskali the Voice from within has alot to say to us.
Hapo nipo na wewe pia ambariki mbowe Kwa kukubali matokeoMungu ibariki Chadema