Pre GE2025 Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Ni Mbowe au Lissu

  • Mbowe

    Votes: 179 14.7%
  • Lissu

    Votes: 1,038 85.3%

  • Total voters
    1,217
  • Poll closed .
Nadhani mwaka huu lazima wagombea urais wawekewe mapingamizi! Vinginevyo lazima kura za maruhani zianze kupigwa mapema mwezi August, 2025.
Mama Abduli hana sifa zozote za uongozi! Hata yeye pamoja na wote wanomzunguka wanajua hivyo!
 
Hujui kwamba Rais wa nchi na makamu wake hawawezi wakatoka upande mmoja wa muungano!
Mzanzibar anatakiwa kuamua mambo ya muungano tu. Mzanzibar hatakiwi kuhusika kuamua mambo yanayo husu Tanganyika peke yake.
 
For sure hata Mimi zamani nilikuwa namwona lema Kama mkabila na mwenye maslahi binafsi kisiasa for sure nilikuwa natenda dhambi kumdhania jambo mtu nisiyemjua
Lema ni mtu wa kunyooka kitambo sana waulize watu wa Arusha watakuambia akiitisha maandamano usiku wanaenda hanaga kubembelezana, nyeusi nyeusi, nyeupe nyeupe ndio maana alichagua upande wa kunyooka na kunyoosha palipo pinda na kupindishwa.
 
Kabisa mkuu.
 
Nadhani mwaka huu lazima wagombea urais wawekewe mapingamizi! Vinginevyo lazima kura za maruhani zianze kupigwa mapema mwezi August, 2025.
Mama Abduli hana sifa zozote za uongozi! Hata yeye pamoja na wote wanomzunguka wanajua hivyo!

Wanaweza kuundiwa zengwe kwamba ni watukanaji, wachochezi na kufungiwa kupiga kampeni, kusoteshwa jela kama Dr Slaa kwa sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…