Demokrasia Imeonekana Pale Mlimani CityYaani wakulima wa mbaazi na uwele wanamshinda mtoto wa mjini?
Hapa Mwamba lnamshauri atafute come back,hizi ni dharau ππππ
Mkuu mimi sijajua mpka sasa kwa idadi ya kura alizoshinda sio janja janja kweli hizi mbowe kazifanya??Yaani wakulima wa mbaazi na uwele wanamshinda mtoto wa mjini?
Hapa Mwamba lnamshauri atafute come back,hizi ni dharau ππππ
Hilo liko wazi!Wanaweza kuundiwa zengwe kwamba ni watukanaji, wachochezi na kufungiwa kupiga kampeni, kusoteshwa jela kama Dr Slaa kwa sasa.
Mbowe ndio kafanyiwa na kuchezewa janja janja Ili ashindwe ππMkuu mimi sijajua mpka sasa kwa idadi ya kura alizoshinda sio janja janja kweli hizi mbowe kazifanya??
Kwani Dodoma walikuwa wanachagua Mwenyekiti kama nyie?Demokrasia Imeonekana Pale Mlimani City
Wale Waliokaa Dodoma, Wamewapumbaza Wajumbe Wakajitwika Vyeo
Tunajadili Katiba iliyopo!Mzanzibar anatakiwa kuamua mambo ya muungano tu. Mzanzibar hatakiwi kuhusika kuamua mambo yanayo husu Tanganyika peke yake.
Kwamba ninyi CCM mnapenda sana uhai wa CHADEMA? Tangu lini?Wajumbe wameamua kuiua CHADEMA
Si wapewe ili tuone. Vipi kuhusu wale ambao 'wachawi' ndani ya chama chao wamekwishakufa?
Odera alijua hataweza kushinda, alikuwa anatengeneza tu umaharufu na kuweka historiHivi kumbe Odero kaambulia kura mojaπ
Huenda kuna watu aliwagharamikia waje wampigie kura na walimuahidi kutokumwangusha! Kweli wajumbe si watu
Chadema imeshinda... Chuma kimetoka, kimeingia chuma Bora zaidiTatalila na wenzie akina mashambani sura zao sijui wanaziweka wapi jamani
Asingekubali SACCOS yake iende saiv atakuwa kalaza pumbu juu anawaza kaachaje asali ilambwe na msingida. Na ndio kupotea mazima tutakuja kumuona akiwa anazikwa tenaπ€£π€£Mbowe ndio kafanyiwa na kuchezewa janja janja Ili ashindwe ππ
Na mimi naomba nikuulize swali, je unajua ni wana Chadema wangapi wenye uwezo lakini wakakosa ujasiri wa kugombea kwa sababu moja tu...baba alikuwa anagombea!Nina swali kwa Makamanda, mliotaka Mbowe ajitowe mfanye uchaguzi kama ccm, na Mbowe aliyesema kura ziongee, ni maamuzi yepi yameipa faida Chadema?
Unazungumziaje ushindi wa Lissu?
Yaani kwamba msigwa arudi na watu wamuamini tena?Namuomba Peter Msigwa arudi katika uwanja wake wa kujidai, kule alioenda anaonekana anatumia nguvu nyingi sana lakini hakujamkubali na hakumpendezi
Wote wana akili,wanatofautiana matumizi yake tu.Wwnje hana akili
Pia kana kwamba haitoshi mbowe anastahili ASANTE, kubwa kabisa toka chadema.Kabisa mkuu.