Pre GE2025 Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%

Pre GE2025 Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Ni Mbowe au Lissu

  • Mbowe

    Votes: 179 14.7%
  • Lissu

    Votes: 1,038 85.3%

  • Total voters
    1,217
  • Poll closed .
Hivi kumbe Odero kaambulia kura moja๐Ÿ˜

Huenda kuna watu aliwagharamikia waje wampigie kura na walimuahidi kutokumwangusha! Kweli wajumbe si watu
Odera alijua hataweza kushinda, alikuwa anatengeneza tu umaharufu na kuweka histori
 
Tatalila na wenzie akina mashambani sura zao sijui wanaziweka wapi jamani
 
Nina swali kwa Makamanda, mliotaka Mbowe ajitowe mfanye uchaguzi kama ccm, na Mbowe aliyesema kura ziongee, ni maamuzi yepi yameipa faida Chadema?
Na mimi naomba nikuulize swali, je unajua ni wana Chadema wangapi wenye uwezo lakini wakakosa ujasiri wa kugombea kwa sababu moja tu...baba alikuwa anagombea!

Tupo tuliompo ushauri ajitoe kwa nia njema kabisa kwa chama na kwa nchi kwa sababu tulijua hawezi kumshinda Lissu tofauti na wewe uliyeamini hawezi kushindwa...pole sana.

Je, wewe ulitaka agombee ili iweje? Ili ashindwe kama alivyoshindwa? Lengo letu sisi, tunaofuatilia hali halisi, ilikuwa ni kumuepusha na matokeo hayo ambayo tuliyajua toka awali.
 
Unazungumziaje ushindi wa Lissu?

kwanza kabisa ieleweke kwa wadau kwamba siwezi kuumizwa na kitu kisichoumiza,


Lakini pili,
ni mapema mno kuzungumza chochote, ila kwa kifupi tu Chadema imeinguliwa na mapepo ya mafarakano, kiburi na midomo makelele ๐Ÿ’
 
Namuomba Peter Msigwa arudi katika uwanja wake wa kujidai, kule alikoenda anaonekana anatumia nguvu nyingi sana lakini hakujamkubali na hakumpendezi
 
Kabisa mkuu.
Pia kana kwamba haitoshi mbowe anastahili ASANTE, kubwa kabisa toka chadema.
Msije furahia tu kama wehu, uendeshaji na usimamizi wa chama hautaki mkono wa birika katika mambo mengi yenye maamuzi mbalimbali hili lijulikane,
 
Harusi za Kiislam hazina gharama sana lakini kashata na harua huwa ni lazima ziwepo. Kwa uchaguzi katika zama hizi huwezi kuepuka matumizi ya pesa. Kampeni za Mh.Lissu zimetumia pesa pia na pesa hizi zimetolewa na diaspora na wana CCM wenye dhamira ya kuwepo kwa fomu ziadi ya moja ili wapambane na Samia.

wana CCM wenye dhamira ya kuwepo kwa fomu ziadi ya moja ili wapambane na Samia ziadi ya chokochoko ndani ya CCM waliwekeza kwa Mh. Lissu kwa malego kuwa ikiwa atashida ataleta hofu kwa Samia. CCM kwa weledi wao wakawahi na kumaliza mchezo kabla ya uchaguzi wa CHADEMA. Katika hali hiyo, ikapinda kuongez amshiko na kuwezesha ushindi wa Mh. Lissu.

Sasa wataka fomu mbili inabidi waende kwa Mh. Lissu mazima kufaidi uwekezaji wao. Kwam mda uliopo kabla ya uchaguzi tutarajie hamahama
 
Back
Top Bottom