Harusi za Kiislam hazina gharama sana lakini kashata na harua huwa ni lazima ziwepo. Kwa uchaguzi katika zama hizi huwezi kuepuka matumizi ya pesa. Kampeni za Mh.Lissu zimetumia pesa pia na pesa hizi zimetolewa na diaspora na wana CCM wenye dhamira ya kuwepo kwa fomu ziadi ya moja ili wapambane na Samia.
wana CCM wenye dhamira ya kuwepo kwa fomu ziadi ya moja ili wapambane na Samia ziadi ya chokochoko ndani ya CCM waliwekeza kwa Mh. Lissu kwa malego kuwa ikiwa atashida ataleta hofu kwa Samia. CCM kwa weledi wao wakawahi na kumaliza mchezo kabla ya uchaguzi wa CHADEMA. Katika hali hiyo, ikapinda kuongez amshiko na kuwezesha ushindi wa Mh. Lissu.
Sasa wataka fomu mbili inabidi waende kwa Mh. Lissu mazima kufaidi uwekezaji wao. Kwam mda uliopo kabla ya uchaguzi tutarajie hamahama