Pre GE2025 Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Ni Mbowe au Lissu

  • Mbowe

    Votes: 179 14.7%
  • Lissu

    Votes: 1,038 85.3%

  • Total voters
    1,217
  • Poll closed .
Ndugu zangu upande wa wapenda mabadiliko. Sisi ambao tulitamani sana mheshimiwa Lissu ashinde uchaguzi huu. Hatuna namna tena. Tumeshindwa. Iwe kwa rushwa iwe kwa nini lakini hali ni mbaya. Mimi kama mimi sipo tayari kuongozwa nao. Asanteni sana.
Mbona kura bado?
 
Naona mwamba anajifanya kuzungumzia umoja baina ya wanachama baada ya uchaguzi.

Huyu Mzee anadhani watu ni wajinga.

Ila siyo mbaya! Maamuzi ni yao wenyewe wana Chadema. Wakiamua kukikuza chama chao ni wao wenyewe na wakiamua kukiuwa chama chao ni wao wenyewe.
 
Mbowe amesema wakimaliza uchaguzi ni lazima wasafishe nyumba yao...hui uchafu ni upi unaotakiwa kusafishwa?🐼
 
Tunaye anaanua kuaga kiaina 😂 😂!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…