Mimi ni mwanachama tangu zama za mtei, hawa vijana wakihuni wa TAL wanataka kuharibu chama.
Zinavyoendelea wapi?
Ila wanakiacha chini ya msagaj eehHATUPELEKI CHAMA KWA MASHOGA - WANACHAMA WA CHADEMA
Katika uchaguzi mkuu wa kumtafuta Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), sauti za wanachama na wajumbe zimetanda mithili ya wingu la mvua, wakiimba kwa nguvu, "Hatupeleki chama kwa mashoga."
Wimbo huo wa aina yake, umevuma kwa kujaza hewa nzito ya msimamo katika ukumbi huo wa uchaguzi.
Wanachama hao, wakiwa na hasira za dhahiri, wamepinga kwa sauti ajenda za kuunga mkono mapenzi ya jinsia moja, zinazotetewa na Makamu Mwenyekiti Tundu Lissu.
Wamesisitiza kuwa hawako tayari kupeleka chama kwa viongozi wanaotetea vitendo vya ushoga na mapenzi ya jinsia moja kwa ujumla.
Kwa msimamo wa chuma, wameonesha kutokubaliana kabisa na ajenda hizo za kigeni, wakieleza kuwa hazina nafasi katika chama chao.
Wahenga hawakukosea waliposema, "Kila ndege huruka na mbawa zake mwenyewe," kwani tayari wanachama wa CHADEMA wameonesha msimamo wa kuzikataa mbawa za kigeni zilizoletwa na Lissu na genge lake
Kasuku
Januari 21, 2025
kutoka ukumbi wa uchaguzi, Mlimani City - Dar es salaam
Hatutaki Chama cha Tajiri mmoja Chama ni cha wanachama.Angalia ukimbi ulivyojaa, ni kazi ya Mwenyekiti, ukiwemo wewe.
Bado Mnyika anasoma taarifa na mapendekezo .soon anahitimishaWalio na access huko jikoni Bado TU NURU haijalishinda GIZA..
NURU (TUNDU LISU Et. All) vs GIZA (MBOWE Et. All)
Yeah!
Niongezee ulipo paona na weweKwahiyo we umeyashika hayo tu
Mwanamapinduzi wa kweli hapaswi kukata tamaa, bali anatafuta kushinda kwa hali yoyote ile.Mkuu. Kwa umasikini wa waafrika, kumshinda tajiri ni kazi kubwa sana. Mimi nimejiandaa kisaikolojia. Hatuna chetu.
Alishawahi kufika bei lini?Lissu anafika bei!
Sasa hivi anakaza ili atimize hadhma ya kua mwenyekiti.
Muda utaongea
Nimekusikia mjumbe.NDUGU MJUMBE RUSHWA NI ADUI WA HAKI.
Chadema ni chama cha wote, hakuna cha tajiri wala masikini, ukiwa tajiri njoo, na ukiwa masikini njoo.Hatutaki Chama cha Tajiri mmoja Chama ni cha wanachama.
Ana sauti tamu💋CHADEMA pia imteue Lissu agombanie Uraisi wa Tanzania/Tanganyika ✌️
Nchi nzima inamtaka Lissu.
View: https://youtu.be/CGABybd9-eQ?si=-kNEvav89WZ5Jxy3
Anataka kusemaje kwamba zilikuwa kiduchu Sana?Unasema Lissu anafika bei je zile hela za Abdul sebuleni kwake mbona alizikataa?
Ndio Sisi ambao pia tupo mlimani city🤣🤣🤣🤣nimeangalia hapa naona wajumbe wa jf mmemchagua lissu zaidi mnamaanisha nini...?😅
We naye kutwa kumtetea mchaga mwenzako..oh Mbowe kakijenga chama..kwani nani hajakijeng? Ukute unabwabwaja hapo huna hata kadi ya uanachama wa chadema..tunamtaka LisuChadema ni chama cha wote, hakuna cha tajiri wala masikini, ukiwa tajiri njoo, na ukiwa masikini njoo.
Hizo propaganda tu, Mbowe kakijenga chama, tizama umati huo, yote kazi yake na team aliyoiunda, chadema hakuna pesa za kumtajirisha mtu, hivyo team Lisu wapunguze mori.
Kura zingepigwa mchana huu mambo ya usiku (GIZA) sio vizuri wangepiga kura mapema ili zihesabiwe mapema..Bado Mnyika anasoma taarifa na mapendekezo .soon anahitimisha