Pre GE2025 Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%

Pre GE2025 Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Ni Mbowe au Lissu

  • Mbowe

    Votes: 179 14.7%
  • Lissu

    Votes: 1,038 85.3%

  • Total voters
    1,217
  • Poll closed .
Lengo lenu wanaCCM ni CHADEMA ipuuzwe na Wananchi.

Mnataka hali iwe hivi👇
View attachment 3208780
Mimi ni mwanachama tangu zama za mtei, hawa vijana wakihuni wa TAL wanataka kuharibu chama.

Angalia ukimbi ulivyojaa, ni kazi ya Mwenyekiti, ukiwemo wewe.

Hatutaki matusi, na fujo ndio maana chadema ipo ilipo.

Hao wahuni hataTAL hatowaweza, wote wanataka vyeo ndani ya chama, unadhani vyeo viko vingapi kuwatosheleza wote hao?

Hao Team Lisu, Wanaleta, njaa majungu, wivu uliopitiliza, na matusi chadema.

Mbowe must win, and Lisu must go.
 

Attachments

  • Screenshot_20250121_151404_Chrome.jpg
    Screenshot_20250121_151404_Chrome.jpg
    206.9 KB · Views: 1
HATUPELEKI CHAMA KWA MASHOGA - WANACHAMA WA CHADEMA

Katika uchaguzi mkuu wa kumtafuta Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), sauti za wanachama na wajumbe zimetanda mithili ya wingu la mvua, wakiimba kwa nguvu, "Hatupeleki chama kwa mashoga."

Wimbo huo wa aina yake, umevuma kwa kujaza hewa nzito ya msimamo katika ukumbi huo wa uchaguzi.

Wanachama hao, wakiwa na hasira za dhahiri, wamepinga kwa sauti ajenda za kuunga mkono mapenzi ya jinsia moja, zinazotetewa na Makamu Mwenyekiti Tundu Lissu.

Wamesisitiza kuwa hawako tayari kupeleka chama kwa viongozi wanaotetea vitendo vya ushoga na mapenzi ya jinsia moja kwa ujumla.

Kwa msimamo wa chuma, wameonesha kutokubaliana kabisa na ajenda hizo za kigeni, wakieleza kuwa hazina nafasi katika chama chao.

Wahenga hawakukosea waliposema, "Kila ndege huruka na mbawa zake mwenyewe," kwani tayari wanachama wa CHADEMA wameonesha msimamo wa kuzikataa mbawa za kigeni zilizoletwa na Lissu na genge lake

Kasuku
Januari 21, 2025
kutoka ukumbi wa uchaguzi, Mlimani City - Dar es salaam
Ila wanakiacha chini ya msagaj eeh
 
Hatutaki Chama cha Tajiri mmoja Chama ni cha wanachama.
Chadema ni chama cha wote, hakuna cha tajiri wala masikini, ukiwa tajiri njoo, na ukiwa masikini njoo.

Hizo propaganda tu, Mbowe kakijenga chama, tizama umati huo, yote kazi yake na team aliyoiunda, chadema hakuna pesa za kumtajirisha mtu, hivyo team Lisu wapunguze mori.
 
Chadema ni chama cha wote, hakuna cha tajiri wala masikini, ukiwa tajiri njoo, na ukiwa masikini njoo.

Hizo propaganda tu, Mbowe kakijenga chama, tizama umati huo, yote kazi yake na team aliyoiunda, chadema hakuna pesa za kumtajirisha mtu, hivyo team Lisu wapunguze mori.
We naye kutwa kumtetea mchaga mwenzako..oh Mbowe kakijenga chama..kwani nani hajakijeng? Ukute unabwabwaja hapo huna hata kadi ya uanachama wa chadema..tunamtaka Lisu
 
Back
Top Bottom