Pre GE2025 Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Ni Mbowe au Lissu

  • Mbowe

    Votes: 179 14.7%
  • Lissu

    Votes: 1,038 85.3%

  • Total voters
    1,217
  • Poll closed .
KKKT walimtaka Bagonza, lkn ccm walimtaka Malasusa na ikawa kama ccm walivyotaka.

Sasa, chadema inamtaka Lisu, lkn ccm wanamtaka Mbowe. Je, matakwa ya chadema yatatimia?
Inawezekana yale ya TLS yakajirudia mkuu. Mwabukusi hakutakiwa kabisa na ccm lakini waliangukia pua.

Ingawa labda ni kwa kuwa wanachama wote wa TLS ni wasomi hivyo ilikuwa vigumu kuwahadaa na kuwanunua
 
Nawaambia CHADEMA kamq mnataka kukijenga chama mchagueni Lissu ila kama mnataka chama kiwe kama TLP na UDP apite mbowe .
Nguvu ya Chadema haitokani na wanachama tu bali mashabiki ambao ndiyo wengi na ndiyo wapiga kura wao. Na hawa ndo wanamtaka Lissu maana wanatamani mabadiliko ambayo hayapatikani kwingine kokote.

Sijui uongozi wa Chadema unakwama vipi kung'amua kinachotakiwa na umma wa Watanzania na kuwaridhisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…