Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Punguza jazba MamaNitolee upuuzi wako hapa.
TUMSHUKURU MBOWE KURUHUSU DEMOCRACY NA USHINDANI WA KWELI... MBOWE MITANO TENA
Inawezekana yale ya TLS yakajirudia mkuu. Mwabukusi hakutakiwa kabisa na ccm lakini waliangukia pua.KKKT walimtaka Bagonza, lkn ccm walimtaka Malasusa na ikawa kama ccm walivyotaka.
Sasa, chadema inamtaka Lisu, lkn ccm wanamtaka Mbowe. Je, matakwa ya chadema yatatimia?
Labda ajichinje mwenyeweBado tu Lissu hajachinja mtu?
Mkuu, nasikia kachomoa kisu butu.Bado tu Lissu hajachinja mtu?
Nguvu ya Chadema haitokani na wanachama tu bali mashabiki ambao ndiyo wengi na ndiyo wapiga kura wao. Na hawa ndo wanamtaka Lissu maana wanatamani mabadiliko ambayo hayapatikani kwingine kokote.Nawaambia CHADEMA kamq mnataka kukijenga chama mchagueni Lissu ila kama mnataka chama kiwe kama TLP na UDP apite mbowe .
Kwa chademaNdio kusema kunaenda kwa abdul au?
Sawa mke wangu.Punguza jazba Mama
Huo ndio ubabaishaji wenyewe!CCM ba watu karibu elfu 3 ilimaliza uchaguzi saa tisa chadema watu mia tisa hawajaanza kupiga kura hadi sasa
Coco…..Uzi umedoda kwa muda
Kama nawaona watu wa humu matumboni joto walipo
🤣🤣🤣
Leteni mamboz tuwasome wajameni
Lucas Mwashambwa , eti ya kweli hayo?Ccm inawakilishwa na Bwana Lucas Mwashambwa