Pre GE2025 Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Ni Mbowe au Lissu

  • Mbowe

    Votes: 179 14.7%
  • Lissu

    Votes: 1,038 85.3%

  • Total voters
    1,217
  • Poll closed .
Akishinda mbowe lissu anaondoka na vijana.
Akishinda lissu chama kinabebwa na wahuni na wasaliti.
Mbowe anatajwa kuwa kibaraka wa CCM.
Lissu alialikwa kujiunga CCM na rafiki yake ameshatangulia.

Uamuzi ni wanachama ...very interesting
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…