Emanueli misalaba
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 1,769
- 2,523
Kwani wewe unakuhusu!CCM mlale huu uchaguzi hauwahusu
Hatari kweli kweliWajumbe mambo ni mawili tu wafufue matumaini mapya kwa Watanzania kwa kumchagua Lissu na kuamsha ari mpya ya vijana.
Au wayadidimize kabisa matumaini hayo kwa kumchagua Mbowe.
LFC 1Wenje fala sana
Naangalia kop. Nimekuja kusumbua hapa half time. Second half nipo Anfield kuendelea na mtanangeLFC 1
Lille 0
Goal Salah
Assist Jones
We lead
Matokeo? Hata kura hawajapiga!Saa sita kasoro hii makamanda! Matokeo bado tu
Daah! π π ππKuna mgombea wa umakamu mwenyekiti Zanzibar, mgombea kaulizwa nini falsafa za CHADEMA?.
Kajibu ni "Stronger together" ππ
Hivi nyie CHADEMA mnafanya uchaguzi usiku wa manane mmekuwa wachawi?Wajumbe tunafanya fujo
Hivi walifurahia nini kupanga uchaguzi wa usiku za manane?, sijaelewa kabisa hii..Matokeo? Hata kura hawajapiga!
Hii tunaamka nayo asubuhi π€£Matokeo? Hata kura hawajapiga!
Mwamba ameshika tama mapema na tambo zote zile π π€£Boni akiwa pamoja na JasusiView attachment 3209377View attachment 3209378View attachment 3209379View attachment 3209380
Uchaguzi wa "Cheketu cheketu mahepe".Hivi walifurahia nini kupanga uchaguzi wa usiku za manane?, sijaelewa kabisa hii..