Pre GE2025 Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%

Pre GE2025 Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Ni Mbowe au Lissu

  • Mbowe

    Votes: 179 14.7%
  • Lissu

    Votes: 1,038 85.3%

  • Total voters
    1,217
  • Poll closed .
Chadema ni chama cha wote, hakuna cha tajiri wala masikini, ukiwa tajiri njoo, na ukiwa masikini njoo.

Hizo propaganda tu, Mbowe kakijenga chama, tizama umati huo, yote kazi yake na team aliyoiunda, chadema hakuna pesa za kumtajirisha mtu, hivyo team Lisu wapunguze mori.
Mzee wetu Huna hoja hoja yako mda wote ni kujaza ukumbi
 
CV ya Lissu ni kubwa sana ktk harakati za upinzani Tanzania. Naweza kusema huwezi kuwataja wapinzani wa CCM bila kumtaja Lissu. Licha ya huvyo Lissu hakumfikia marehemu Seif jinsi ya kuisumbua CCM.
Seif licha ya kutokuwa kiongozi mkuu wa Cuf yaani Mwenyekiti lkn aliitikisha sana CCM hadi kufikia miafaka zaidi ya 3 na hatimae ikaundwa serekali ya kitaifa.
Maalim alianziasha harakati za jino kwa jino lakini pia harakati za maridhiano.
Maalim alifariki akiwa na heshima kubwa ktk siasa za upinzani.
LISSU.
Lissu licha ya kuwa mpinzani lkn mtego aliongia ushammaliza kisiasa. Mtego wa kutaka kuisambaratisha chadema kupitia lema na Heche limemtoa kabisa ktk siasa za chadema.
Tumuombeeni sana Lissu ktk siasa za upinzani. Lilobaki aende CCM akamalizie maisha yake
Lissu nje ya chadema hawezi kuendesha siasa. Siasa za lissu litigemea chadema.
Kwa hivyo za kumuombea lissu baada ya kushindwa ni muhimu
Nyama na Pombe za ofa.
 
We naye kutwa kumtetea mchaga mwenzako..oh Mbowe kakijenga chama..kwani nani hajakijeng? Ukute unabwabwaja hapo huna hata kadi ya uanachama wa chadema..tunamtaka Lisu
Hahaha kumbe shida yako ukabila?
Mimi siyo mchaga.

Kuhusu uanachama wewe huna hata thubutu kuniuliza.

Wewe hata kujenga kikoba hujui, huwezi kuelewa kujenga chama.

Nyie ndio hamtakiwi ndani ya chadema, kelele, wivu na majungu, njaa mnavileta chadema
 
Hahaha kumbe shida yako ukabila?
Mimi siyo mchaga.

Kuhusu uanachama wewe huna hata thubutu kuniuliza.

Wewe hata kujenga kikoba hujui, huwezi kuelewa kujenga chama.

Nyie ndio hamtakiwi ndani ya chadema, kelele, wivu na majungu, njaa mnavileta chadema
Mimi very active toka 2009 wakati wewe unanyonya ..! Na niko active sio mwanachama mfu...wewe ni mchaga usibishe
 
Mzee wetu Huna hoja hoja yako mda wote ni kujaza ukumbi
Sasa bila kujaza ukumbi unge kuwa hapa unaijadili vhadema wewe?

Nenda mkutano wa TADEA ndio utaelewa, kwanini tunajivunia wingi wa watu chadema.
 
Kura zingepigwa mchana huu mambo ya usiku (GIZA) sio vizuri wangepiga kura mapema ili zihesabiwe mapema..
hata mimi nimeshangaa kuona kwamba mpaka sasa hivi eti bado hawajaanza kupiga kura! ina maana tundu lisu bado tu hajashituka kuhusu mchezo mchafu wanaotaka kuucheza usiku?
 
Sasa unaipinga tena ile hoja yako ya CHADEMA kuwezeshwa na Mbowe, sisi tunataka CHADEMA isitegemee fedha za mtu mmoja tunataka CHADEMA ijitegemee kama LISSU anavyotaka.
Sijasema Mbowe kaiwezesha chadema, ninasema strategies za Mbowe na team yake zimeijenga chadema kufika ilipo.

Hatuongelei pesa, tunaongelea uwezo wa kukijenga chama.

Pesa kila mtu ana zake, na anatumia atakavyo.
 
hata mimi nimeshangaa kuona kwamba mpaka sasa hivi eti bado hawajaanza kupiga kura! ina maana tundu lisu bado tu hajashituka kuhusu mchezo mchafu wanaotaka kuucheza usiku?
Kweli maana,
ayatollah Khomeini,nkurunzinza, kaguta, kagame, sultani , aikael mbowe.. ni dalili Hana Nia njema na Wana mageuzi/ mabadiliko ndani ya chadema..
Maana Hana jipya na kwa Nini ang'an'ganie yeye TU kua mwenyekiti binafsi this time mbowe must go
 
Sultan Mbowe Bin King'ang'anizi atashinda kimagumashi akitumia rushwa ambayo ni sponsored na majizi ya Ccm baada ya hapo ataishi kwa majuto akielewa kabisa black & white kuwa watu wameshajua ni mamluki na hawana imani nae
kwa taarifa yako mbowe sasa hivi hana cha kupoteza hapo kwake cha kupoteza ni kuikosa chadema kuwa mwenyekiti lakini baada ya hapo hana cha kupoteza hata wahame wote atabaki na chama chake provided atapata na wabunge kadhaa anaendelea kula ruzuku kialini lissu ana haha huko chauma kutafuta urais ambao hataupata 2030 ni nchimbi 2040 makamba 2050 nnauye 2060 mtoto wa makamba
 
Back
Top Bottom