LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
kwenye mgogoro huu, mtu ukitaja na hoja za maandiko ya dini yoyote ile, tayari ushapoteza mantiki
Hii ni kwa mujibu wa nani, mkuu? Respect kwa hoja yako, lakini bado haina haki ya kunyonga hoja zingine ambazo most likely ni bora zaidi.
 
Mji wa sedrot bado upo mikononi mwa Hamas leo ni siku ya nne Israeli imeshindwa kuukomboa
Tulia hivyo hivyo,bado kwanza wanaume wa shoka wanadeal na Gaza,huo mji HAMAS hawana uwezo wa kuushikilia hata kwa week moja.Na ukikombolewa ulete mrejesho hapa usikae kimya kama kawaida yako mambo yakiendaga kombo upande unaoupenda
 
Hamas na Wakazi wa Gaza hawana umeme, maji, vyakula sasa hivi ukiwapelekea hata Kitimoto wanakula

πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Na jamaa walivyo wahuni utasikia wanatoa msaada wa chakula ndani hua wanaweka kitimoto,kataa kula njaa ikuue
Mashariki ya kati syria,afrighanstan, Libya wamekula sana misaada ya chakula ambayo kuna kitimoto ndani kama hamjui πŸ˜€πŸ˜€
 
Wewe akili kubwa uliyeiona mbona hutaki kujibu hoja? Jibu hoja au piga kimya..
Nimeshakuelekeza kwa kupata majibu. Kuna wengine nimewapa majibu maana nimeona ni kweli wanahitaji majibu, lakini wewe hadi nimekupotezea na kukuelekeza vinginevyo ni sababu nimeina una akiki ya kivivu, yaani serious unauliza eti kabla ya mwaka 1947?
Ni lazima usaidiwe kuumiza kichwa na siyo spoon feed. Ndiyo maana sikukupa hata link, bali nimekwambie utafute
 
Nenda huko kwenye jibu, kisha ulilete hapa, ikiwa kila mwenye hoja anaambiwa nenda kule au kule hapatakuwa na jukwaa, bali vurugu. Jibu hoja au piga kimya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…