LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Mbona hamas hakwenda kwenye military bases za watoto wa Yakobo akaenda kwenye music festival. Wale vijana walikosa nini?.Wameyatimba wacha kazi iendelee ndio siku nyingine iwe funzo. Mungu wa Israeli, yupo macho. Never sleep.
Hamas sio jeshi
 
Biblia inanipa hostoria nzuri sana dhidi ya wayaudi na wapalestina ,hawa Jamaa no ndugu WA Baba mmoja ila mama tofauti,myaud ndo alipewa hiyo ardhi wanayogombania ,sema saivi kinacho wagawa zaidi ni Imani walizo nazo
 
Sasa mkuu si tumesha kubaliana kuwa hamas ni magaidi ?kwahiyo wakifanya hivyo hatushangai ila akifanya Israel ni razima tushangae kwa sababu ni jeshi lenye kila aina ya nyenzo za kufanya mambo kwa waledi badala ya kufanya mambo kiholela kama hao mnao waita magaidi.
 
Hapo ndio ujue aina ya Allah wanaemwamini. Allah anayeahidi mabikra 70 na mito ya ulevi huko peponi ndio huyo huyo anayekunywa damu za watu hapa duniani kwa kisingizio cha kumpigania what a nonsense.
Wanatakiwa watumie jina la mama yko
 
Jana Israel ilifanya shambulizi kwenye kambi ya wakimbizi iliyoko chini ya umoja wa mataifa na kuuwa zaidi ya watu 30 na kujeruhi wengi tu hebu niambie hilo shambulizi lilifanywa kwa misingi ipi?
 
Nakuunga mkono hadi nukta hii, mkuu. Na wala si zaidi ya hapo.

BTW, wengi sana wangependa kuona hili Iikitokea, tena haraka maana limekwamishwa & kucheleweshwa muda mrefu sana.
Limekwamishwa na kucheleweshwa na wanadamu, that means mambo ya amani yanaweza suluhishwa na wanadamu hapo, ila watu wKitaka fungua andiko hili linasem vile ndo watu wanaendelea kushangilia hivo vifo kwa kupokezana tu

Hao jamaa wote wapate amani tu
 
Nimekuelewa Kwa ufafanuzi huu
 
⚡Jordan announced the opening of its bases to American planes to provide military support to Israel in its war.
 
Wew ni Mjinga usie Jua kitu, Israel inachofanya ni sahihi hao Magaidi wanafanya uharibifu Alfu wanakimbia kujificha kwenye Magorofa!! Sasa tulia hivyo isikuume hakuna kujitofoutisha utapokelewa jinsi ulivyo kuja hamna cha huruma Wala nn sambaratisha Kila kitu!!! Ili tukiingia Aridhini wakose pa Kujificha.
 
Biblia inanipa hostoria nzuri sana dhidi ya wayaudi na wapalestina ,hawa Jamaa no ndugu WA Baba mmoja ila mama tofauti,myaud ndo alipewa hiyo ardhi wanayogombania ,sema saivi kinacho wagawa zaidi ni Imani walizo nazo
Kizazi cha mtoto wa agano wa Mungu yaani Isaka anavurugiwa urithi wake na mtoto asiye wa agano yaani Ishamael na sasa ni rahisi kujua imani ya shetani imepitia kwa nani na Imani ya Mungu wa kweli imepitia kwa nani kwa kifupi hii vita ni watu wa Mungu na Mungu wao wanapambana na watu wa shetani na miungu yao.
 
Hawa Moderators wa Jamiiforums wanafatilia sana mwa ukaribu hii mada ya Israel na Palestina.

Ukiandika ujinga wanafuta, utashangaa unaletewa ujumbe "Reason for Deletion" sasa unajiuliza nani kabonyeza kufuta... 😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…