LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Mbinu za kivita. Hata hao Hamas wangekuwa wanaiweza vita basi wasingeingia mtaani kukamata raia wasio na hatia kuwafanya hostages. Kila mtu anajaribu mbinu ya kumdhoofisha opponet wake. Kwahyo kaa kwa kutulia zinyukwe.
 
Unadhani watu wanaogopa kufa mkuu kwani kufa si lazma hyo ni Vita wanakufa pnde zote mkuu husikii vilio ni kila pande tulia huangalie show agiza na lol pop unyonye kazi bado umesahau watu wa kuvaa mabomu
 
Parestina na nchi zingine ziachane kabisa kuyaficha makundi ya magaidi yanayotumia dini kufanya ufedhuri wao. Nafikiri hili sasa ni funzo kubwa. Nafikiri baada ya hapa HAMAS watatafuta pa kwenda, maana kila kitu kishasafishwa kuanzia ofisi zao, benki zao, yaani sasa hivi wapo mtaani na kizuri zaidi hakuna mawasiliano mji mzima watu wanakimbia kimbia honyo wakiwemo na wao wenyewe.

Kuchezea sharubu simba ukafikiri ni paka, sasa wamewaponza waparestina maskini...

Ni balaa - GAZA imegeuka Jehanam kwa muda wa siku 4 tu.

Kuna meli imechapwa Bomu hapaaa... Dahh..

Nashuhudia live inateketeaa..
 
Mbinu za kivita. Hata hao Hamas wangekuwa wanaiweza vita basi wasingeingia mtaani kukamata raia wasio na hatia kuwafanya hostages. Kila mtu anajaribu mbinu ya kumdhoofisha opponet wake. Kwahyo kaa kwa kutulia zinyukwe.
Kwani si mipaka inalindwa na Wana jeshi pale wameshnda nguvu jeshi ndio wakaingia kwahyo hiyo ndio maana ya vita
 
Mkuu GAZA ni kama Wilaya ya Bagamoyo tu.
 
Na International community hawatasema lolote hadi huo ukanda wa Gaza watafunwe wote, condemn they will not, hakika walichokitaka watapata hadi nyongeza.
 
Urusi ndie kawatumia hamas kuipiga Israel ili aweze kuitandika vizuri Ukraine kwa maana nguvu zote zinaelekezwa Israel kulko Ukraine, michezo ya warusi hii
 
Urusi ndie kawatumia hamas kuipiga Israel ili aweze kuitandika vizuri Ukraine kwa maana nguvu zote zinaelekezwa Israel kulko Ukraine, michezo ya warusi hii
 
Hata unachoandika hakieleweki, what was your point.
 
Pumbavu kabisa baada ya kuombea mababu zako na Bibi waliotangulia mbele ya haki unaombea taifa jingine brainwashed kubwa sana, waharabu na wazungu walifanya kazi sana kugeuza akili za mtu mweusi. Ndo maana hatuna dini zetu na pia hatuna maendeleo.
Pumbavu zako mwanamtoka pabaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…