LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
😂 huyo aliye tuma barua UN nani Hamasi au ni puppet

Hivi we akilini kwako Israel angekuwa anaweza vita angekimbilia kukata umeme na maji na kupiga magari ya ambulance 😂

Israel vita haviwezi hivi na huyo US pia hawezi fanya kitu sababu ndege zake zinapiga Gaza na hakuna kitu wanacho pata zaidi ya kuvunja majumba ya raia wasio na makosa Hamasi wanarusha missiles kama kawaida na wanaingia na kuteka waisrael kila siku.
Mbinu za kivita. Hata hao Hamas wangekuwa wanaiweza vita basi wasingeingia mtaani kukamata raia wasio na hatia kuwafanya hostages. Kila mtu anajaribu mbinu ya kumdhoofisha opponet wake. Kwahyo kaa kwa kutulia zinyukwe.
 
Ustadhi pale sio vita yaani ni mauaji yanafanyika dhidi ndugu zako waarabu, wewe endelea kuchekelea humu halafu kesho utabinuka na mikanzu ukilalamika na kulia lia.....mwenyewe nimeona kule Telegram japo mimi ni timu Israel lakini sio kwa nilichokiona, nyie ni watu mliolaaniwa maana mnalianzisha kisha mnaishia kufanyiwa unyama kama wote.
Unadhani watu wanaogopa kufa mkuu kwani kufa si lazma hyo ni Vita wanakufa pnde zote mkuu husikii vilio ni kila pande tulia huangalie show agiza na lol pop unyonye kazi bado umesahau watu wa kuvaa mabomu
 
Parestina na nchi zingine ziachane kabisa kuyaficha makundi ya magaidi yanayotumia dini kufanya ufedhuri wao. Nafikiri hili sasa ni funzo kubwa. Nafikiri baada ya hapa HAMAS watatafuta pa kwenda, maana kila kitu kishasafishwa kuanzia ofisi zao, benki zao, yaani sasa hivi wapo mtaani na kizuri zaidi hakuna mawasiliano mji mzima watu wanakimbia kimbia honyo wakiwemo na wao wenyewe.

Kuchezea sharubu simba ukafikiri ni paka, sasa wamewaponza waparestina maskini...

Ni balaa - GAZA imegeuka Jehanam kwa muda wa siku 4 tu.

Kuna meli imechapwa Bomu hapaaa... Dahh..

Nashuhudia live inateketeaa..
 
Mbinu za kivita. Hata hao Hamas wangekuwa wanaiweza vita basi wasingeingia mtaani kukamata raia wasio na hatia kuwafanya hostages. Kila mtu anajaribu mbinu ya kumdhoofisha opponet wake. Kwahyo kaa kwa kutulia zinyukwe.
Kwani si mipaka inalindwa na Wana jeshi pale wameshnda nguvu jeshi ndio wakaingia kwahyo hiyo ndio maana ya vita
 
Parestina na nchi zingine ziachane kabisa kuyaficha makundi ya magaidi yanayotumia dini kufanya ufedhuri wao. Nafikiri hili sasa ni funzo kubwa. Nafikiri baada ya hapa HAMAS watatafuta pa kwenda, maana kila kitu kishasafishwa kuanzia ofisi zao, benki zao, yaani sasa hivi wapo mtaani na kizuri zaidi hakuna mawasiliano mji mzima watu wanakimbia kimbia honyo wakiwemo na wao wenyewe.

Kuchezea sharubu simba ukafikiri ni paka, sasa wamewaponza waparestina maskini...

Ni balaa - GAZA imegeuka Jehanam kwa muda wa siku 4 tu.

Mkuu GAZA ni kama Wilaya ya Bagamoyo tu.
 
Na International community hawatasema lolote hadi huo ukanda wa Gaza watafunwe wote, condemn they will not, hakika walichokitaka watapata hadi nyongeza.
 
Urusi ndie kawatumia hamas kuipiga Israel ili aweze kuitandika vizuri Ukraine kwa maana nguvu zote zinaelekezwa Israel kulko Ukraine, michezo ya warusi hii
 
Urusi ndie kawatumia hamas kuipiga Israel ili aweze kuitandika vizuri Ukraine kwa maana nguvu zote zinaelekezwa Israel kulko Ukraine, michezo ya warusi hii
 
UNAONGEA UJINGA HUKU UKIJIHISI WEWE MWENYEWE KUWA NI MWEREVU,KWANI NANI NI MVAMIZI HAPO BAINA YA MUISRAEL NA MPALESTINA??WALIKUWA WAPI HAO WAZAYUNI BEFORE 1948??

UISLAM WA WAPI UNAOSEMA KWAMBA MTU ETI AKIWA NA IMANI NYINGINE ETI LABDA AWE MKRISTO BASI APIGWE MAWE HADI KUFA KWA KUTOFUATA IMANI YA UISLAM??TUPE USHAHID WAPI WATU WAMEHUKUMIWA IMANI YA KUPIGWA MAWE HADI KUFA ETI KISA IMANI YAO N WAKRISTO WAPI??

A LOT OF CHRISTIANS WAPO NCHI ZA KIARABU WENGI TUH,SO WEWE UNADHANI HUKO UARABUNI HAKUNA CHRISTIANS?

In 2022, the number of Christians living in Saudi Arabia was estimated at 2.1 million; however, it was unknown how many are Protestants, Catholics or Orthodox[15] Other estimates put this at over 2 million

SASA UNAPOSEMA KUWA MKRISTO NCHI ZA KIARABU NI KUWA TAYARI KUFA WAKATI WOWOTE NI UZUSHI NA KUTOKUWA MJUZI WA MAMBO YA WAZI KABISA
Hata unachoandika hakieleweki, what was your point.
 
Pumbavu kabisa baada ya kuombea mababu zako na Bibi waliotangulia mbele ya haki unaombea taifa jingine brainwashed kubwa sana, waharabu na wazungu walifanya kazi sana kugeuza akili za mtu mweusi. Ndo maana hatuna dini zetu na pia hatuna maendeleo.
Pumbavu zako mwanamtoka pabaya
 
Back
Top Bottom