Unadhani watu wanaogopa kufa mkuu kwani kufa si lazma hyo ni Vita wanakufa pnde zote mkuu husikii vilio ni kila pande tulia huangalie show agiza na lol pop unyonye kazi bado umesahau watu wa kuvaa mabomu
Hi sio wajibu wngu niache kupambana na maendeleo yngu niende kusaidia watu wanao jiweza.hehehe mngekua hamuogopi ungeenda sasa hivi huko ukalipuke na hao ili upate mabikira....
Bada hujajua vzur historia komaa labda iko siku utajua history kumbe ya hapa Africa Tu jirani bado hujui unataka kuminyanaIran wanaogopa Iran Hamas wameshambua na Israel wanajibu mapigo sasa ikionekana Iran wamesupport na kuwa Mastermind wa hamas watakuwa responsible na Kila kitu kilichotokea pande mbili zote ndo maana wanakataa.
Ni sawa na Rwanda kushot down ndege ya rais 6/4/1994 ndio ili trigger genocide rwanda.
Sasa aliyetoa order ya rais kuuwawa ndio muhusika mkuu wa genocide rwanda.
Kagame ndio kahusika lkn anakataa.
Ni sawa na Iran Sasa.
Hujui chochoteIran wanaogopa. Hamas wameshambulia na Israel wanajibu mapigo sasa ikionekana Iran wamesupport na kuwa Mastermind wa hamas watakuwa responsible na Kila kitu kilichotokea pande mbili zote ndo maana wanakataa.
Ni sawa na Rwanda kushot down ndege ya rais 6/4/1994 ndio ili trigger genocide rwanda.
Sasa aliyetoa order ya rais kuuwawa ndio muhusika mkuu wa genocide rwanda.
Kagame ndio kahusika lkn anakataa.
Ni sawa na Iran Sasa.
Tatizo lako haujui siasa zinavyochezwa. Lakini sikulaumu kwasababu wewe si mwanasiasaUnafikiri hawapendi kuishi eeeeeh maisha matamu bwana Hamas yanawatoka makamasi huko
Ishmael Mungu alimbariki sana na akasema atamfanya Kuwa Taifa kuu soma👇Kuna baraka ya nje ya agano na baraka ya ndani ya agano. Isaka ana baraka tena nyingi mno za ndani ya agano la Mungu na kupitia yeye kizazi chake amezaliwa Mkombozi wa ulimwengu yaani Yesu Kristo ambapo na pia kuna urithi wa ardhi kwa Isaka Ishmael hana hizi baraka zote na hana urithi wa ardhi na zingine nyingi kwa kuwa si mtoto wa agano ni wa nje ya agano namaanisha agano kati ya Ibrahimu na Mungu. Kwa kupitia Ibrahimu then Isaka Mungu alijifunua tena ulimwenguni kuja kufanya ushirika na mwanadamu baada ya anguko la Adamu na Hawa. Sasa angalia kwa Ishamael alijifunua mungu wa namna gani asomaye na afahamu!
Kwa akili hizi wewe ni 🚮 Yani uombee mtu ambaye amekufa Dead body uiombee Ili iweje afufuke au afanyaje? Au akusaidiaje? Ukisha kufa ndo Biashara imeisha ondoa huo upumbavu kichwani mwakoPumbavu kabisa baada ya kuombea mababu zako na Bibi waliotangulia mbele ya haki unaombea taifa jingine brainwashed kubwa sana, waharabu na wazungu walifanya kazi sana kugeuza akili za mtu mweusi. Ndo maana hatuna dini zetu na pia hatuna maendeleo.
Nguvu ya jeshi husika huwa haioneshwi kwa kubomoa majengo hovyo hovyo bali huwa inaoneshwa kwa kufanya mambo kwa weledi.Jmn wamesema Israel haina nguvu ni dhaifu hapa ... wamefurahi ilivyovsmiws kwamba imetia aibu ...
Sie tunasema acha tuwe watazamaji,ss nini tena 🤷
Kwa hiyo kushughulikia usala wako ndo ushambulie raia hovyo hovyo?Usiwapangie Israel namna ya kushughurika na usalama wao. Kitendo Cha nyinyi kushangilia humu walichokifanya Hamas Ni ishara kwamba kilikuwa Cha kupendeza mioyoni mwenu Sasa kwanini mnataka Israel ifanye tofauti na kitendo hicho Cha kuvutia walichofanya Hamas??
Ingekaa vizuri kama ungeyaorodhesha hayo mambo yanayotakiwa kufanywa kwa welediNguvu ya jeshi husika huwa haioneshwi kwa kubomoa majengo hovyo hovyo bali huwa inaoneshwa kwa kufanya mambo kwa weledi.
sijakataa kuwa Ishmael hakubarikiwa alibarikiwa ndiyo lakini nje ya agano na ukitaka kujua ubora wa baraka za agano angalia katika Ishmael ni aina gani ya roho, dini, watu, imani vimepita then angalia aina gani ya roho, dini, watu, imani vimepita kwa kupitia Isaka ni dhahiri shair kuna upande wa Mungu na upande wa shetani, Mungu kapitisha vya kwake kwa Isaka maana ndipo agano lake lilipo na vya shetani vingi mno vimepita kwa Ishmael.Ishmael Mungu alimbariki sana na akasema atamfanya Kuwa Taifa kuu soma👇
Mwanzo 17 : 20 - Na kwa habari za Ishmaeli nimekusikia, nimembariki, nitamzidisha, nami nitamwongeza sana sana. Atazaa maseyidi kumi na wawili, nami nitamfanya awe taifa kuu.
Kuhusu Agano nakubaliana na wewe kabisa ni kweli Mungu aloifanya Agano na Isaka
Anatoa mfano gani huo Yani historia ya majirani zetu imemshinda kbsa. Ndio maana naona hata ya middle East linakua gumu kwakeHujui chochote
DISGUSTING.THE SO CALLED "FREEDOM FIGHTERS" DID THIS TO A BABY WHO CAN'T EVEN WALK.
FU*K THEM.
View: https://twitter.com/TheMossadIL/status/1711755160156794918?t=FA3kV1glg2iJXAcw3u7RNQ&s=19