LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Unadhani watu wanaogopa kufa mkuu kwani kufa si lazma hyo ni Vita wanakufa pnde zote mkuu husikii vilio ni kila pande tulia huangalie show agiza na lol pop unyonye kazi bado umesahau watu wa kuvaa mabomu

hehehe mngekua hamuogopi ungeenda sasa hivi huko ukalipuke na hao ili upate mabikira....
 
  • Thanks
Reactions: K11
Iran wanaogopa. Hamas wameshambulia na Israel wanajibu mapigo sasa ikionekana Iran wamesupport na kuwa Mastermind wa hamas watakuwa responsible na Kila kitu kilichotokea pande mbili zote ndo maana wanakataa.

Ni sawa na Rwanda kushot down ndege ya rais 6/4/1994 ndio ili trigger genocide rwanda.
Sasa aliyetoa order ya rais kuuwawa ndio muhusika mkuu wa genocide rwanda.
Kagame ndio kahusika lkn anakataa.

Ni sawa na Iran Sasa.
 
Iran wanaogopa Iran Hamas wameshambua na Israel wanajibu mapigo sasa ikionekana Iran wamesupport na kuwa Mastermind wa hamas watakuwa responsible na Kila kitu kilichotokea pande mbili zote ndo maana wanakataa.

Ni sawa na Rwanda kushot down ndege ya rais 6/4/1994 ndio ili trigger genocide rwanda.
Sasa aliyetoa order ya rais kuuwawa ndio muhusika mkuu wa genocide rwanda.
Kagame ndio kahusika lkn anakataa.

Ni sawa na Iran Sasa.
Bada hujajua vzur historia komaa labda iko siku utajua history kumbe ya hapa Africa Tu jirani bado hujui unataka kuminyana
 
Iran wanaogopa. Hamas wameshambulia na Israel wanajibu mapigo sasa ikionekana Iran wamesupport na kuwa Mastermind wa hamas watakuwa responsible na Kila kitu kilichotokea pande mbili zote ndo maana wanakataa.

Ni sawa na Rwanda kushot down ndege ya rais 6/4/1994 ndio ili trigger genocide rwanda.
Sasa aliyetoa order ya rais kuuwawa ndio muhusika mkuu wa genocide rwanda.
Kagame ndio kahusika lkn anakataa.

Ni sawa na Iran Sasa.
Hujui chochote
 
Aiseee hali ni mbaya nimeona watoto wa kiisrael wakichomwa moto wakiwa hai na wengine wengi wakiuawa.aisee chuki ni kitu kibaya sana.kila mtu anatakiwa ajipushe kujenga au kuwa na chuki.
 
Kuna baraka ya nje ya agano na baraka ya ndani ya agano. Isaka ana baraka tena nyingi mno za ndani ya agano la Mungu na kupitia yeye kizazi chake amezaliwa Mkombozi wa ulimwengu yaani Yesu Kristo ambapo na pia kuna urithi wa ardhi kwa Isaka Ishmael hana hizi baraka zote na hana urithi wa ardhi na zingine nyingi kwa kuwa si mtoto wa agano ni wa nje ya agano namaanisha agano kati ya Ibrahimu na Mungu. Kwa kupitia Ibrahimu then Isaka Mungu alijifunua tena ulimwenguni kuja kufanya ushirika na mwanadamu baada ya anguko la Adamu na Hawa. Sasa angalia kwa Ishamael alijifunua mungu wa namna gani asomaye na afahamu!
Ishmael Mungu alimbariki sana na akasema atamfanya Kuwa Taifa kuu soma👇
Mwanzo 17 : 20 - Na kwa habari za Ishmaeli nimekusikia, nimembariki, nitamzidisha, nami nitamwongeza sana sana. Atazaa maseyidi kumi na wawili, nami nitamfanya awe taifa kuu.

Kuhusu Agano nakubaliana na wewe kabisa ni kweli Mungu aloifanya Agano na Isaka
 
Pumbavu kabisa baada ya kuombea mababu zako na Bibi waliotangulia mbele ya haki unaombea taifa jingine brainwashed kubwa sana, waharabu na wazungu walifanya kazi sana kugeuza akili za mtu mweusi. Ndo maana hatuna dini zetu na pia hatuna maendeleo.
Kwa akili hizi wewe ni 🚮 Yani uombee mtu ambaye amekufa Dead body uiombee Ili iweje afufuke au afanyaje? Au akusaidiaje? Ukisha kufa ndo Biashara imeisha ondoa huo upumbavu kichwani mwako
 
Jmn wamesema Israel haina nguvu ni dhaifu hapa ... wamefurahi ilivyovsmiws kwamba imetia aibu ...
Sie tunasema acha tuwe watazamaji,ss nini tena 🤷
Nguvu ya jeshi husika huwa haioneshwi kwa kubomoa majengo hovyo hovyo bali huwa inaoneshwa kwa kufanya mambo kwa weledi.

Kama ni kubomoa majengo hata Jwtz wanaweza.
 
Usiwapangie Israel namna ya kushughurika na usalama wao. Kitendo Cha nyinyi kushangilia humu walichokifanya Hamas Ni ishara kwamba kilikuwa Cha kupendeza mioyoni mwenu Sasa kwanini mnataka Israel ifanye tofauti na kitendo hicho Cha kuvutia walichofanya Hamas??
Kwa hiyo kushughulikia usala wako ndo ushambulie raia hovyo hovyo?
 
Nguvu ya jeshi husika huwa haioneshwi kwa kubomoa majengo hovyo hovyo bali huwa inaoneshwa kwa kufanya mambo kwa weledi.
Ingekaa vizuri kama ungeyaorodhesha hayo mambo yanayotakiwa kufanywa kwa weledi
 
Ishmael Mungu alimbariki sana na akasema atamfanya Kuwa Taifa kuu soma👇
Mwanzo 17 : 20 - Na kwa habari za Ishmaeli nimekusikia, nimembariki, nitamzidisha, nami nitamwongeza sana sana. Atazaa maseyidi kumi na wawili, nami nitamfanya awe taifa kuu.

Kuhusu Agano nakubaliana na wewe kabisa ni kweli Mungu aloifanya Agano na Isaka
sijakataa kuwa Ishmael hakubarikiwa alibarikiwa ndiyo lakini nje ya agano na ukitaka kujua ubora wa baraka za agano angalia katika Ishmael ni aina gani ya roho, dini, watu, imani vimepita then angalia aina gani ya roho, dini, watu, imani vimepita kwa kupitia Isaka ni dhahiri shair kuna upande wa Mungu na upande wa shetani, Mungu kapitisha vya kwake kwa Isaka maana ndipo agano lake lilipo na vya shetani vingi mno vimepita kwa Ishmael.

Anyway kama utakuwa ni mfuatiliaji wa mafundisho na maarifa ya Mungu wa biblia utakuwa unaelewa maana yake nini ninaposema baraka za agano na baraka za nje ya agano. Issue ya agano kibliblia si mchezo ndiyo maana kuna agano jipya na la zamani kuonyesha seriousness ya jambo hili.
 
Baada ya hotuba ya raisi wa marekani hii leo (mda mchache uliopita) Sasa rasmi usa kutuma aircraft carrier bahari ya meditrania kutoa msaada kwa Israel

source: ALJAZEERA live feed
 
Back
Top Bottom