Moronight walker
JF-Expert Member
- Aug 3, 2021
- 3,103
- 4,704
mkuu hii comment yako ni kama unataka kujustify kile alichokifanya hamasIna maana kwa hatua hiyo ameruhusu Israel kuivamia na kuikalia Gaza kijeshi.
Wapalestina hawana mtetezi maana Arab league waliotakiwa kuwasemea wameshakuwa 'compromised' kitambo........labda angalau jumuiya ya kiislamu (OIC) yenye Uturuki, Iran, Pakistan, Indonesia ndio wanaweza kuwa sauti ya Wapalestina.
Ina maana kwa hatua hiyo ameruhusu Israel kuivamia na kuikalia Gaza kijeshi.

Maneno ya israel kwa shindwa kummaliza siku zote aje ammalize leo hamna kitu kama hucho.Hii Vita sasa inaweza kuenea Dunia Nzima ni vizuri kuanza kujiwekea akiba ya mahitaji ya lazima
Al jazeera news
Mlale Unono
Tuwe makini na hizi news isije ikwa kama zile za Iddi Amin dada anakula nyama za watu
Ina maana kwa hatua hiyo ameruhusu Israel kuivamia na kuikalia Gaza kijeshi.
Wapalestina hawana mtetezi maana Arab league waliotakiwa kuwasemea wameshakuwa 'compromised' kitambo........labda angalau jumuiya ya kiislamu (OIC) yenye Uturuki, Iran, Pakistan, Indonesia ndio wanaweza kuwa sauti ya Wapalestina.
Lolote laweza kutokea sababu kwa sasa Vita inapiganwa Bila kufuata sheria za Vita za kimataifaManeno ya israel kwa shindwa kummaliza siku zote aje ammalize leo hamna kitu kama hucho.
Ndiyo Israel imewaua maelfu ya watoto,wamama na watu wengine wapalestina.hiyo ni madhara ya chuki waliojenga wenyewe kwa mikono yao.Ndo hao hamas wafia dini.
Ni kukosa mbinu tuu za kumzidi adui, wanatumia tactics za mauaji ys raia.
Afu utakuta mtu yupo humu anasema Israel inauwa watoto na wamama.
MKUU HAPA JF HAKUNA MWENYE TAARIFA ZA UHAKIKA UKITAKA KUJUA KINACHOENDELEA FUATILIA VYOMBO VYA HABARI HASA ALJAZIRAA .Tuwe makini na hizi news isije ikwa kama Ile za Iddi Amin dada anakula nyama za watu
Ni jaziba tu hakutegemea hilo, atatulia tu baada ya akili kurudi parastine hawako peke yao.Lolote laweza kutokea sababu kwa sasa Vita inapiganwa Bila kufuata sheria za Vita za kimataifa
Mkuu mimi navyojua pande zote mbili wanauwa mkuu. Sio wapelestina wala WaisraelNdiyo Israel imewaua maelfu ya watoto,wamama na watu wengine wapalestina.hiyo ni madhara ya chuki waliojenga wenyewe kwa mikono yao.
Gaza Ndio inaondoka hivyo!Ni jaziba tu hakutegemea hilo, atatulia tu baada ya akili kurudi parastine hawako peke yao.
Usitake kusema hamas ni WATAKATIFU. NONdiyo Israel imewaua maelfu ya watoto,wamama na watu wengine wapalestina.hiyo ni madhara ya chuki waliojenga wenyewe kwa mikono yao.
Sijasoma ni watakatifu ila nachojaribu kusema haya yote waisraeli wamesababisha wenyewe.Usitake kusema hamas ni watakatifu NO
Kwa sasa % kubwa ni wapalestina wanauawa. Kifupi ni unyama.Mkuu mimi navyojua pande zote mbili wanauwa mkuu. Sio wapelestina wala Waisrael
Wote ni wauwaji ila au???Kwa sasa % kubwa ni wapalestina wanauawa. Kifupi ni unyama.