LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Wewe Hilo bongo halina akili kabisa. Yaani Wapalestina wenye nchi yao ndo wagawanywe badala Dunia kugawanya Wayahudi! Hatari kweli kweli.
Hiyo nchi ni mali ya wana wa Israeli. Ni urithi wao kutoka kwa Mungu yehova sio huyo Allah wenu anayechinja mpaka vitoto vidogo.
 
IDF soldiers identified a number of vehicles with terrorists in an area adjacent to Kibbutz Nir Am. An IDF tank responded by firing toward them, and thwarted three terrorists.
IDF soldiers are continuing to conduct searches in the area.
 
Na wewe dishi limeyumba. Wafilisti na Wakanaani walikuwa lile eneo hata Kabla Ibrahimu hajahamia pale na wenyeji walimpokea na waliishi naye Kwa amani. Leo inakuwaje Filistine ndo iwe ardhi ya watu wa kukaribishwa TU na wenyeji isiwe kwako!
 
Nasikia hamas ilianzishwa na mossad ili imdhibiti Yasser Araat. Baadae ikawageuzia kibao.
Nilisoma jarida la New York Times la 2005 ,2006 au 2003 kama sikosei ,katika andiko lao moja kipindi hiko Hamas ndio inachipukia na kushamiri niliona ikiwasifia na kiwapamba.
 
β€œOn the night between Friday and Saturday, hours before the terrorist attack, the IDF received intelligence information about the happenings around the fence and the movement of senior Hamas officials. This information led to calls and telephone consultations of senior officers of the army in the middle of the night. The summary was: additional situation assessments will take place later in the morning”
 
Nilisoma jarida la New York Times la 2005 ,2006 au 2003 kama sikosei ,katika andiko lao moja kipindi hiko Hamas ndio inachipukia na kushamiri niliona ikiwasifia na kiwapamba.
Mambo mengi tunapangwa.
 
Wapinzani Wakuu wa Netanyahu wamekubali kuungana naye na Kuunda " Serikali ya Vita" iliyojiapisha kuifuta Hamas kwenye uso wa Dunia

Source Al jazeera
Nyieee! Nyieee!! Utu TU mgambo utu mnahangaika hivyo?Hebu elezeni ukweli nyieee!!!!
 
You are brain washed by the Western colonialists.
 
Wewe Hilo bongo halina akili kabisa. Yaani Wapalestina wenye nchi yao ndo wagawanywe badala Dunia kugawanya Wayahudi! Hatari kweli kweli.
Na wewe bongo lako haliko sawa vile vile msichekane mko sawa tu. Anyway sio kosa lako ni kuwa hujasoma historia ya Taifa la Israeli na pia hutaki kuijua.
 
Kazi nzuri sana ,

Israel mwageni Sumu hapo Gaza ili Kila kiumbe life hapo Gaza hata sisimizi sitaki kuziona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…