LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Duh
Inataka kufanana na uingereza eeh?
Na wao waziri mkuu ndo Kila kitu
Kumbe
 
Daah hii nilitaka nishangae, nilikuwa nishaanza kuwaza inawezekana hii michezo inapangwa makusudi ili mtu apate uhalali wa kutembeza kichapo, huyo sheha wa Israel aliyetoa hiyo taarifa apigwe makofi.
 
Nimegundua wa israel ni kama ligi ya england tu imepigwa promo lkn ……. Ikiwa panya road tu wa mtaan mpaka waombe misaada kwa mataifa mengine je akikutana na…..! Napita tu
Hata allah husaidiwa na binadamu kuhukumu au kumtetea kipi cha ajabu kwa israel na marekani?
 
Mbona tayari wameshakuwa 'ruled out' au hiyo update hujaisoma?
Wameshawahishwa kwa mnyazimngu tayari kila mtu kupata mabikra wake huku wanaogelea kwenye mito ya ulevi 😂😂😁😀😀. Hypnotized minded people, huko ni moto tupu baada ya kufa. Mungu hapiganiwi wala hatetewi anajitetea mwenyewe.
 
Mbona sasa mpangaji Mkuu kaufyata na jana yule Mkuu wao wa Nchi alikuwa ana deny kuhusika.Ama kweli ukiwategemea Arabs na Persians wakusaidie katika dhiki mambo yakienda kombo wanakutelekeza
Na alikua wa kwanza kupiga simu kupongeza, kiongozibwa Hamas akasema hadharani kuwa wamepongezwa naye. Baada ya kuona mziki umebadiliki wakaanza kujisafisha kuwa hawakuhusika na chochote.
Wasichojua wenzao wana taaarifa zote za mipango yote ila waliliacha hili litokee.
Na ili wasishituke kuwa jamaa kuna mchezo wameustukia, US akaachia zile Funds za Iran zilizokuwa frozen, akawa anajadiliano nao. Hspo wakajua kumbe hawajastukiwa, walivyokuwa mafala wakaendelea na hatimaye kutekeleza.
Wangekuwa na akili walipaswa kujiuliza ilikuwaje walipovamia hawakukutana na upinzani wowwote, hadi kambi za jeshi za mpakani hazikuwa na wanajeshi.
Wanajeshi na askari waliokuwepo ni wale wachache wachache kwa ajili ya Doria tu.

Ningekua mimi ningekimbia, haiwezekani ukute kila kitu chepesi kiasi kile halafu uendelee kujiona wewe shupavu.
 
Kwakweli nimependa
 
Gaza death toll passes 1,000. A humanitarian catastrophe is developing due to a lack of aid, but Israel says they won’t allow the delivery of fuel, food or supplies. After the massacre on Saturday, Israeli leadership is calling for a “complete siege.
 


Mateka walioachiwa ni mwanamke na wanawe wawili ambao walishikiliwa kuanzia Jumamosi.

Source: Aljazeera Newz
 
Sawa.ila sidhan km itamfanya 🇮🇱 arudi nyuma kichapo kipo palepale
 
Zelensky is considering going to Israel on a "solidarity visit.
 
Wameaanza kujuta ndio kwanza Israel hawajaanza hata
Kazi , bado hawajasave

View: https://twitter.com/Jerusalem_Post/status/1712207843464536403?t=RIYTzFdNIS1lOmrjQK7bQQ&s=19

Sasa kwanini mliwateka kama sio ujinga
Kama wamemuachia basi jua wame muachia kwa makubaliano maalum aidha kwa kubadilishana na mateka maana na Israel kuna baadhi ya wapiganaji wa hamas iliwateka kwenye mapigano ya kusini mwa Israel .
Hakunaga mateka wa kivita anaye achiwaga hivi hivi kwa sababu siku zote mateka ni mtaji kwa aliye mteka.
 
Upo kwao kwa mabavu, hayjaanza leo hayo. Kila siku wapalestina wanauliwa.

Waswahili tunasema "ngoma ikivuma sana mwishowe hupasuka". Ndiyo imepasuka hivyo.

Sasa kila mmoja atawasaidia anaowaona wana haki.

Nasubiri siku ambayo wachaga watasema Kilimanjaro ni taifa lao. Walishaanza kwa mkoloni, akawaambia toweni upuuzi wenu hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…