Shinbet walionya sana ila wanasiasa walikua wana neutralise ili hatua kali xisichukuliwe na kujidanganya wasiharibu peace deal na waarabu.HII TIMING YA SABATO NI HATARI.
Leo kwa kweli Israel kazidiwa ujanja, inamaana hana hata intel za huko gaza ndanindani. Hata wakiuwa wapalestina wote ila wameabishwa sana.
Usiongelee matukio ya kigaidi ambayo Israel anawatumka mamluki wa kiilani. Israel haijawah na haitasubutu kushambulia kinu cha nuclear cha irani.Isreal imewahi kuua Wataharamu wa atomic na nuclear wa Iran.
Pia wamewahi attack kinu cha nuclear ndani ya iran kwa kutumia drone .
Iran mbona hawakufanya chochote wakabaki kulahani
Umejisahulisha majibu ya iran ktk base za marekani nchini iraqKuna General mmoja wa Iran alipendwa sana alikuwa anamsaidia kiongozi wa Syria aliuwawa na drone na USA tena walishirikiana na Israel.
Watu wakasema wamefanya kosa kubwa sana, Iran watalipiza kisasi maneno mengi.
Hakuna kitu mpk leo.
Kile kijamaa kinafiki sana,kinajifanya kina ufahamu kumbe uongo uongo tu.Ajabu ss kwenye uzi huu mtu anaeshabikia Ukraine kupambana na Urusi akijenga hoja Ukraine anaitetea ardhi yake
Ndo huyoo huyoo hapa atawaita Wapalestina magaidi wanaotetea pia ardhi yao iliyoporwa na Israel
Ndo huyo huyoo anaesifia Israel kuwaua Wapalestina
Ila ndo huyoo hiyoo anaekaza shingo kulaumu Urusi kushambulia Ukraine
Shinbet walionya sana ila wanasiasa walikua wana neutralise ili hatua kali xisichukuliwe na kujidanganya wasiharibu peace deal na waarabu.
Acha wachapwe kwanza.
Yale maeneo wanaishi waarabu wakalalamika ulinzi upunguzwe na bla blaa nyingi na wao wakakubali kweli.
Hahahahahaha yulee ukiwa mgeni humu unaweza muona wa maaana mnoo, ila ukipazoea ndo unagundua ana changamoto kwenye uwezo wake wa kufikiriaKile kijamaa kinafiki sana,kinajifanya kina ufahamu kumbe uongo uongo tu.
Ukifuatilia jinsi jamaa walivyoingia na walivyoshambulia pia ukilinganisha na uwezo wa Israel katika medani ya kivita na intelligence Bado wachambuzi wanapigwa na butwaaKweli maneno yako kamanda hi Israel ni kama Ukraine vile wanapewa silaha na US na European na ukitaka kujua vita hawaviwezi tazama mpa ambulance wanazipiga eti wanauwa Hamasi π
Hakuna jipya kwani hizo silaha nani anazo mpaa Israel mbona bado anapigwa eti Irondome sijui nini hakuna jipya.Austin-United States secretary of defense
View: https://twitter.com/bbcswahili/status/1710663783398469909?t=nepCMJjDplBhU6O6uDn-eg&s=19
USA walimuua General wa Iran walisema anahusika na vifo vya Askari 500 wa USAUmejisahulisha majibu ya iran ktk base za marekani nchini iraq
Mimi sipo kwa ushabikiUmejisahulisha majibu ya iran ktk base za marekani nchini iraq
Israel inajilinda. Iyo Iran kila siku inasema itaifuta Israel kwenye ramani ya dunia kinachoishinda kuifuta ni nini? Si waende waifute? Allah mwenyewe mungu wa kiarabu anaigopa Israel.Sijui hicho kitu unachokiongelea. Israel kama kweli ni vidume wafanye shambulio ndani ya iran kama walivyofanya hamasi leo au alivyoingia urus nchini Ukraine alafu uone majibi ya iran yatakuwaje? wali
Usimchukulie Iran juu juu, kwa hapo Asia hakuna wa kumsumbua kabisaWasiwasi wangu hii vita itapanuka, ikiwa itagundulika kuwa Iran yupo nyuma yake, washirika wa Israel hawatakaa kimya...tunza hii post
Hata US amechanganyikiwa alidhani Israel simba kumbe ni kifaranga tu πUkifuatilia jinsi jamaa walivyoingia na walivyoshambulia pia ukilinganisha na uwezo wa Israel katika medani ya kivita na intelligence Bado wachambuzi wanapigwa na butwaa