PakiJinja
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 11,689
- 25,848
Shinbet walionya sana ila wanasiasa walikua wana neutralise ili hatua kali xisichukuliwe na kujidanganya wasiharibu peace deal na waarabu.HII TIMING YA SABATO NI HATARI.
Leo kwa kweli Israel kazidiwa ujanja, inamaana hana hata intel za huko gaza ndanindani. Hata wakiuwa wapalestina wote ila wameabishwa sana.
Acha wachapwe kwanza.
Yale maeneo wanaishi waarabu wakalalamika ulinzi upunguzwe na bla blaa nyingi na wao wakakubali kweli.