LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
HII TIMING YA SABATO NI HATARI.
Leo kwa kweli Israel kazidiwa ujanja, inamaana hana hata intel za huko gaza ndanindani. Hata wakiuwa wapalestina wote ila wameabishwa sana.
Shinbet walionya sana ila wanasiasa walikua wana neutralise ili hatua kali xisichukuliwe na kujidanganya wasiharibu peace deal na waarabu.
Acha wachapwe kwanza.
Yale maeneo wanaishi waarabu wakalalamika ulinzi upunguzwe na bla blaa nyingi na wao wakakubali kweli.
 
Isreal imewahi kuua Wataharamu wa atomic na nuclear wa Iran.
Pia wamewahi attack kinu cha nuclear ndani ya iran kwa kutumia drone .
Iran mbona hawakufanya chochote wakabaki kulahani
Usiongelee matukio ya kigaidi ambayo Israel anawatumka mamluki wa kiilani. Israel haijawah na haitasubutu kushambulia kinu cha nuclear cha irani.

Hiyo kuuwa wataalamu wa atomic wa irani ni kijisumbua tu kwani wairani wana wataalamuwa atomic wasiopungua milioni moja
 
Kuna General mmoja wa Iran alipendwa sana alikuwa anamsaidia kiongozi wa Syria aliuwawa na drone na USA tena walishirikiana na Israel.

Watu wakasema wamefanya kosa kubwa sana, Iran watalipiza kisasi maneno mengi.
Hakuna kitu mpk leo.
Umejisahulisha majibu ya iran ktk base za marekani nchini iraq
 
Ajabu ss kwenye uzi huu mtu anaeshabikia Ukraine kupambana na Urusi akijenga hoja Ukraine anaitetea ardhi yake
Ndo huyoo huyoo hapa atawaita Wapalestina magaidi wanaotetea pia ardhi yao iliyoporwa na Israel
Ndo huyo huyoo anaesifia Israel kuwaua Wapalestina
Ila ndo huyoo hiyoo anaekaza shingo kulaumu Urusi kushambulia Ukraine
Kile kijamaa kinafiki sana,kinajifanya kina ufahamu kumbe uongo uongo tu.
 
Austin-United States secretary of defense

Marekani 'itajitahidi kuhakikisha Israel ina kile inachohitaji kujilinda' - Austin
 
Marw nyingi wamekua wakipokea kichapo kutoka Gaza maloket na makombora yote huwa yanatokea huko !! nadra sana usikie yanatokea West bank!!…
Ukiangalia Gaza ni sehemu ndogo sana!! Kwann haka kaeneo wasi kaa ANNEX wawaachie west bank!!


NB: siku za mwanzo niliwai soma kua kuacha pande mbili yaan gaza na main palestina ilikua ni njia ya kuwagawanya!!!

Kama mnajua ile sheria ya “DIVIDE and RULE” ndo ilikua inatumika hapa.

Hamas wamelipa kisasi lakini mashambulio ya kulipiza kisasi n wananchi ndio wataolipa hyo gharama!!
 
Watu wenyewe walikuwa wepesi sana, maana naona polisi tu wameanza kuwakamata kama kuku na kuwatia mbaroni hao vijana wa kiparestina. Sasa hiyo loophole kwenye eneo hatarishi kama lile na delay iliyoonyeshwa kwenye response inaonekana kuna shida mahala.
Shinbet walionya sana ila wanasiasa walikua wana neutralise ili hatua kali xisichukuliwe na kujidanganya wasiharibu peace deal na waarabu.
Acha wachapwe kwanza.
Yale maeneo wanaishi waarabu wakalalamika ulinzi upunguzwe na bla blaa nyingi na wao wakakubali kweli.
 
Screenshot_20231007-173429_Maps.jpg


Umeona hio ramani ilivyo Iran mpk Israel pana mwendo sana.

Na mimi nina uhakika Jordan ilni nchi ya amani tuu sidhani kama mfalme wa Jordan atakubali kukalibisha majeshi ya iran na wengine waweke kambi pale.
Ili kupigana maana vita vikichachamaa vinaweza India Jordan pale .

Iran na Saudi Arabia ni paka na panya , Saudi hawezi mkaribisha Iran pale kwake.

Labda Iran aende Syria. But kumbuka Israel wanashikiria milima ya Syria mpk leo waliteka kipindi cha 6 days war mpk leo bado wameshikiria maeneo hayo.

Shida ya waarabu hawana ushirikiano afu kingine waoga hasa majirani wa Israel maana vita vinaweza expand Israel ni nchi ndogo sana.

Afu kingine waarabu siraha hawatengeneza wao wanunua nje. Wanaotengeneza ni Iran tuu. Ambaye hapatani na wengine.

Saudi Arabia silaha anunua USA asilimia kubwa ya silaha. UAE naye ananunua USA. Qatar ananunua USA.
 
Kweli maneno yako kamanda hi Israel ni kama Ukraine vile wanapewa silaha na US na European na ukitaka kujua vita hawaviwezi tazama mpa ambulance wanazipiga eti wanauwa Hamasi 😂
Ukifuatilia jinsi jamaa walivyoingia na walivyoshambulia pia ukilinganisha na uwezo wa Israel katika medani ya kivita na intelligence Bado wachambuzi wanapigwa na butwaa
 
Sijui hicho kitu unachokiongelea. Israel kama kweli ni vidume wafanye shambulio ndani ya iran kama walivyofanya hamasi leo au alivyoingia urus nchini Ukraine alafu uone majibi ya iran yatakuwaje? wali
Israel inajilinda. Iyo Iran kila siku inasema itaifuta Israel kwenye ramani ya dunia kinachoishinda kuifuta ni nini? Si waende waifute? Allah mwenyewe mungu wa kiarabu anaigopa Israel.
 
Ukifuatilia jinsi jamaa walivyoingia na walivyoshambulia pia ukilinganisha na uwezo wa Israel katika medani ya kivita na intelligence Bado wachambuzi wanapigwa na butwaa
Hata US amechanganyikiwa alidhani Israel simba kumbe ni kifaranga tu 😂
 
Back
Top Bottom