Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 11,786
- 18,562
Duuh hatar sana, sasa hao wagonjwa watawapeleka wapi ? Hamas kudadeki zenu mnatesa raia kwa upumbavu wenu.
Maisha hayafidiwi na chochote..Ndio nimewahi shuhudia 2011 maisha ya askari mmoja muisraeli yalifidiwa kwa vifo vya parestina elfu
Hakuna sabau ya kuua watu huvyo ni roho mbaya tu. Tourati inasemma amri mbili kuu.AGITATOR.
Hivi wapalestina waliwakosea nini wayahudi mpaka wawafanye wakimbizi/watumwa ndani ya nchi yao.
Hakika ukinijibu vizuri nitakurushia voucher ya elfu tano.
Ukiona mbwa anabweka kwa mbwembwe sana ujue mwenye mbwa hayuko mbali.Siku zote israel hupewa msaada mikubwa na US tangu mwaka 1947 ila leo kakikundi ambako kapo staless na kamezingilwa pande zote, kama "biggest open prison in the world" kana mtia hofu mpa kutumia siraha zito F 16 mbombandiments, wanajeshi laki tatu, hapo kuna jambo kubwa tusio lijua.
Ni zaidi ya km 240,maana kati hapo Kuna Syria, Jordan,Hadi ur Iraq ambako ni kusini,wakipitia saudia bado ruti ndefuWakianzia kwa Ibrahimu, Waisraeli watalazimika kuhamia umbali wa km 240 hadi Iraki karibu na Ghuba ya Uajemi.
Israel ni taifa kubwa duniani!?..kubwa kwa lipi!?..wanaishi kwa misaadaUkiona mbwa anabweka kwa mbwembwe sana ujue mwenye mbwa hayuko mbali.
Ni kweli Hamas ni kakundi kadogo lakini jiulize kamepata wapi hizo nguvu na silaha? Kanapata wapi jeuri ya kupigana na Taifa kubwa duniani? Fikiri mara mbili. Na Israel siyo wajinga, hope wana info zote through their security channels. PM wao Ben hakuongea vile alivyoongea kwa kujifurahisha, usimfananishe na Bashite.
Wakati wa Hitler Ulaya ilikuwa imeshaelekea Kibla, ni Russia pekee ndiyo aliyeresist kwa miaka almost 7 ama 8 .Huo ni mtazamo wako tu usio na uhalisia, Rusia kamwe hawezi kuwatumia Hamas kumpiga muisraeli. Hivi ulishawahi sikia mahali popote Rusia na Israeli wanavutana?
Swali la msingi ni kwamba kwa nini isiwe pia mali ya Wapalestina?ila ni mali ya Wayahudi.
Kuanzia miaka ya 1880 Wayahudi wengi walianza kurejea Palestina na kujipatia ardhi na mijikoloni ya kilimo na makazi, tofauti na awali ambapo msukumo wao ulikuwa kwenda kwa lengo la kujihusisha kwenye utafiti wa masuala ya dini.Yupi ni mcokozi kati ya Israel na Palestine juu ya kile kinacho endelea pale middle east?
Si mdogo wake bana, Yonatan alikuwa mtoto wa kwanza.Benjamin Netanyau ana uchungu sana na haya magaidi ya kipalestina mdogo wake akiitwa Yonatan Netanyau aliuwawa kwenye operation entebe alipokuwa akiiongoza kikosi cha kuokoa ndege iliyokuwa imetekwa na magaidi ya kipalestina uokoaji ulifanikiwa 100% ila yeye Yonatan alipoteza maisha.
Lakini pia huyo huyo Russia aliresist kwa msaada wa USA wa kupewa silaha za kutosha na usaidizi mwingine.Angekuwa peke yake pengine asingeweza himili pia.Wakati wa Hitler Ulaya ilikuwa imeshaelekea Kibla, ni Russia pekee ndiyo aliyeresist kwa miaka almost 7 ama 8 .
Hatimaye Hitler alichemka vita na Urussi, mwishowe Urussi aliwasaidia sana mateka wa Israel waliokuwa UTUMWANI German.
Inaonekanaga sana Israel wanaliheshimu hilo.
Hawanaga uadui kihivyo, hata Ukrain War Israel kajivutavuta sana mpaka Zele akalalamika
Hebu jisomee wewe halafu lete majibuUnauliza maswali ya kitoto sana. Huwezi kujisomea?
Mgawanyo wa Ardhi walioufanya UN ilikuwa ni asilimia ngapi kwa Palestina na asilimia ngapi kwa Mazayuni mayahudi?Mwaka 1947 Umoja wa Mataifa ulipiga kura kuigawa ardhi ya Palestina kuwa nchi mbili. Wayahudi ambao idadi yao ilikuwa 650,000 walikubaliana na uamuzi huo na kutangaza rasmi kuunda Taifa la Israel mnamo 14 May 1948 chini ya David Ben Gurion ambaye alikuwa Mkurugenzi mkuu wa Shirika la kizayuni Duniani (World Zionist Organization)
Wapalestina (Waarabu) ambao idadi yao ilikaribia 1,200,000 waliuchukulia uamuzi huo kama muendelezo wa mkakati wa muda mrefu wa Wayahudi kuwaondoa katika ardhi zao waliukataa mpango huo. Huo ndio ukawa mwanzo wa Mgogoro wa ardhi unaoendelea sasa baina ya Wapalestina na Waisrael. Wanamgambo wa Wapalestina wakisadiwa na mataifa ya kiarabu ya Misri, Jordan, Iraq na Syria walitangaza vita dhidi ya Israel mnamo tarehe 15 May, 1948.Vita vilimalizika tarehe 10 March 1949 kwa Israel kushinda na kunyakua ardhi zaidi kutoka mikononi mwa Wapalestina ambao wengi wao waliuawa na zaidi ya laki saba (700,000) kulazimishwa kuondoka katika ardhi zao hali iliyopelekea waishi katika makambi ya wakimbizi tatizo ambalo hadi sasa bado halijapata ufumbuzi.
Kwahiyo katika hali ya uonezi kama huo, tunakubaliana kwamba mayahudi yanstahiki kila pigo wanalopata toka kwa Hamas, sivyo?Kitu kama hicho.
Mara tu baada ya UN (1947) kupitisha mpango wa ugawaji wa Palestina baina ya Wayahudi na Waarabu, vikazuka vita -- na havijawaji kukoma.
Vita hivyo kwa sehemu kubwa sana vimekuwa na matokeo mabaya kwa upande mmojawapo -- ardhi kumegwa, ongezeko la Wayahudi wahamiaji, wakimbizi kwa upande mwingine, uendelezaji wa makazi mapya, sheria kandamizi dhidi ya upande hasimu, na fursa ya kujitanua kijeshi, kisiasa, diplomasia na uchumi.
^To the victor goes the spoils^
Israeli 56 na Palestina 44Mgawanyo wa Ardhi walioufanya UN ilikuwa ni asilimia ngapi kwa Palestina na asilimia ngapi kwa Mazayuni mayahudi?
Who were the majority?Israeli 56 na Palestina 44