DUBULIHASA
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 4,446
- 8,215
propaganda za kizamaniHii picha imeniuma sana kweli waisrael wameamua kuunajisi mji mtakatifu wa Jerusalem namna hii?
Hii picha imeuchefua moyo wangu na kuumia sana, wote tunafahamu Yerusalem ni mji mtakatifu kwa wakristo na pia Waislam.
Ni mji wenye historia kubwa kwa dini zote mbili hata dini ya tatu ya kiyahudi pia
Kinachoniudhi ni kitendo cha Israel kuruhusu mashoga kufanya matamasha na shughuli za kuhamasisha ushoga na maandamano ya mashoga katika mji huu
Hili jambo linakera na linachefua sana, hili ni jambo ovu sana na linaloumiza akili kwanini wamefikia huku?
Hili ndilo taifa teule baadhi ya watu wanaliombeaga??View attachment 2793686View attachment 2793687
Acha utumwa, unapaheshimu Israel kuliko hata nyumbani kwenu utakakozikwa.... Acha kushoboka na dini za watu
Hahahaaaaa uko zako Tandale nawe unajifanya Myahudi.Hii picha imeniuma sana kweli waisrael wameamua kuunajisi mji mtakatifu wa Jerusalem namna hii?
Hii picha imeuchefua moyo wangu na kuumia sana, wote tunafahamu Yerusalem ni mji mtakatifu kwa wakristo na pia Waislam.
Ni mji wenye historia kubwa kwa dini zote mbili hata dini ya tatu ya kiyahudi pia
Kinachoniudhi ni kitendo cha Israel kuruhusu mashoga kufanya matamasha na shughuli za kuhamasisha ushoga na maandamano ya mashoga katika mji huu
Hili jambo linakera na linachefua sana, hili ni jambo ovu sana na linaloumiza akili kwanini wamefikia huku?
Hili ndilo taifa teule baadhi ya watu wanaliombeaga??View attachment 2793686View attachment 2793687
Hapa duniani hakuna mji mtakatifu , labda kama unasemea yerusalem ya mbinguni msiwe maboya SanaHii picha imeniuma sana kweli waisrael wameamua kuunajisi mji mtakatifu wa Jerusalem namna hii?
Hii picha imeuchefua moyo wangu na kuumia sana, wote tunafahamu Yerusalem ni mji mtakatifu kwa wakristo na pia Waislam.
Ni mji wenye historia kubwa kwa dini zote mbili hata dini ya tatu ya kiyahudi pia
Kinachoniudhi ni kitendo cha Israel kuruhusu mashoga kufanya matamasha na shughuli za kuhamasisha ushoga na maandamano ya mashoga katika mji huu
Hili jambo linakera na linachefua sana, hili ni jambo ovu sana na linaloumiza akili kwanini wamefikia huku?
Hili ndilo taifa teule baadhi ya watu wanaliombeaga??View attachment 2793686View attachment 2793687
Huyu bi harusi ?
Hawa ni wa wapi?Uangamizwe wewe mpenda ushogaView attachment 2793691View attachment 2793692
Vita kaanza nani?kwani nani mchokoz siku zoteMie niko kinyume na wewe kabisa, In short; nipo kinyume na nguvu giza.
Kwani vita kaanza nani? Acha aliyefanya ugaidi na kuua kiasi hicho ashughuliwe hadi apotee!
Bupa kuna uzi nimeandika kuhusu hicho unachosema mkuu.Mtakuja kupopolewa kwa shobo zenu. Hao watu don't give a single fvck about you. Tafuta shughuli za kufanya
wazayuni waondoke waende wap ? ipo Ayotollah atakushikisha ukuta [emoji16]Iran&Urusi na China ni nchi makini sana
Zinaongozwa na Viongozi makini na wazalendo sana
Mapenzi yangu kwa Ayatollah wa Iran hayapimiki yaani namkubali ayatollah na serikali yake sana huniambii kitu kuhusu Iran iran wana jeshi makini, intelijensia makini na nyumbani kwa wayahudi halisi wapatao milioni 4-5 na ndo nchi yenye wayahudi wengi duniani zaidi baada ya Israel......
Urusi ya Putin naipenda sana yaani mimi kama ningekua Chawa basi mimi ni chawa Wa Urusi na Putin pro-Max
Utendaji, uthubutu,unanifanya nimkubali sana Comrade Xi jinping nendeni mkasome Wasifu wake na legacy yake mtabaki kushangaa jamaa ni genious sana
Naipenda Hamas na Hezbollah kupita maelezo!!.....Nawapenda Wayahudi sana hawa ambao ni real jews sio wale Wazayuni/Zionists ambao ni mafia walioletwa pale middle East am proud to be Anti-Zionism
Hakuna kitu tunaombea kama Wayahudi na Wapalestina waishi kwa amani amani itapatikana tu pale Wazayuni watakapoondolewa pale wabakie wayahudi halisi na wapalestina ili waishi kwa pamoja na amani!!
naamin utakuwa gayyy sio bure kwamba hujui wapalestina na waarab ndo huanza wavamia waisrael? muda si mrefu utakuwa mke wa AyotollahVita kaanza nani?kwani nani mchokoz siku zote
Umesahau israel ndo baba wa ugaidi dunian