LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Hii picha imeniuma sana kweli waisrael wameamua kuunajisi mji mtakatifu wa Jerusalem namna hii?

Hii picha imeuchefua moyo wangu na kuumia sana, wote tunafahamu Yerusalem ni mji mtakatifu kwa wakristo na pia Waislam.

Ni mji wenye historia kubwa kwa dini zote mbili hata dini ya tatu ya kiyahudi pia

Kinachoniudhi ni kitendo cha Israel kuruhusu mashoga kufanya matamasha na shughuli za kuhamasisha ushoga na maandamano ya mashoga katika mji huu

Hili jambo linakera na linachefua sana, hili ni jambo ovu sana na linaloumiza akili kwanini wamefikia huku?

Hili ndilo taifa teule baadhi ya watu wanaliombeaga??View attachment 2793686View attachment 2793687
propaganda za kizamani
 
Patakatifu kikwao kwao, na wewe hangaika na patakatifu kikwenu kwenu.

Hizi dini zilizoletwa na wazungu na waarabu zinasumbua sana baadhi ya vichwa vya watu
 
Hii picha imeniuma sana kweli waisrael wameamua kuunajisi mji mtakatifu wa Jerusalem namna hii?

Hii picha imeuchefua moyo wangu na kuumia sana, wote tunafahamu Yerusalem ni mji mtakatifu kwa wakristo na pia Waislam.

Ni mji wenye historia kubwa kwa dini zote mbili hata dini ya tatu ya kiyahudi pia

Kinachoniudhi ni kitendo cha Israel kuruhusu mashoga kufanya matamasha na shughuli za kuhamasisha ushoga na maandamano ya mashoga katika mji huu

Hili jambo linakera na linachefua sana, hili ni jambo ovu sana na linaloumiza akili kwanini wamefikia huku?

Hili ndilo taifa teule baadhi ya watu wanaliombeaga??View attachment 2793686View attachment 2793687
Hahahaaaaa uko zako Tandale nawe unajifanya Myahudi.

Lilia DSM yako iliyo chafu, kila siku kipindupindu.

Jerusalem na wewe wapi nawapi.

Tuache kujitoa fahamu. Kuigza uarabu!
 
Hii picha imeniuma sana kweli waisrael wameamua kuunajisi mji mtakatifu wa Jerusalem namna hii?

Hii picha imeuchefua moyo wangu na kuumia sana, wote tunafahamu Yerusalem ni mji mtakatifu kwa wakristo na pia Waislam.

Ni mji wenye historia kubwa kwa dini zote mbili hata dini ya tatu ya kiyahudi pia

Kinachoniudhi ni kitendo cha Israel kuruhusu mashoga kufanya matamasha na shughuli za kuhamasisha ushoga na maandamano ya mashoga katika mji huu

Hili jambo linakera na linachefua sana, hili ni jambo ovu sana na linaloumiza akili kwanini wamefikia huku?

Hili ndilo taifa teule baadhi ya watu wanaliombeaga??View attachment 2793686View attachment 2793687
Hapa duniani hakuna mji mtakatifu , labda kama unasemea yerusalem ya mbinguni msiwe maboya Sana
 
Msemaji wa Hamas na Hizbollah vipi dawa ina kubali ama waongeze Dose
 
Mie niko kinyume na wewe kabisa, In short; nipo kinyume na nguvu giza.
Kwani vita kaanza nani? Acha aliyefanya ugaidi na kuua kiasi hicho ashughuliwe hadi apotee!
 
Hawa ni wa wapi?
JamiiForums1977886362_682x450.jpg

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Mie niko kinyume na wewe kabisa, In short; nipo kinyume na nguvu giza.
Kwani vita kaanza nani? Acha aliyefanya ugaidi na kuua kiasi hicho ashughuliwe hadi apotee!
Vita kaanza nani?kwani nani mchokoz siku zote

Umesahau israel ndo baba wa ugaidi dunian
 
Iran&Urusi na China ni nchi makini sana

Zinaongozwa na Viongozi makini na wazalendo sana

Mapenzi yangu kwa Ayatollah wa Iran hayapimiki yaani namkubali ayatollah na serikali yake sana huniambii kitu kuhusu Iran iran wana jeshi makini, intelijensia makini na nyumbani kwa wayahudi halisi wapatao milioni 4-5 na ndo nchi yenye wayahudi wengi duniani zaidi baada ya Israel......

Urusi ya Putin naipenda sana yaani mimi kama ningekua Chawa basi mimi ni chawa Wa Urusi na Putin pro-Max

Utendaji, uthubutu,unanifanya nimkubali sana Comrade Xi jinping nendeni mkasome Wasifu wake na legacy yake mtabaki kushangaa jamaa ni genious sana

Naipenda Hamas na Hezbollah kupita maelezo!!.....Nawapenda Wayahudi sana hawa ambao ni real jews sio wale Wazayuni/Zionists ambao ni mafia walioletwa pale middle East am proud to be Anti-Zionism

Hakuna kitu tunaombea kama Wayahudi na Wapalestina waishi kwa amani amani itapatikana tu pale Wazayuni watakapoondolewa pale wabakie wayahudi halisi na wapalestina ili waishi kwa pamoja na amani!!
wazayuni waondoke waende wap ? ipo Ayotollah atakushikisha ukuta [emoji16]
 
Vita kaanza nani?kwani nani mchokoz siku zote

Umesahau israel ndo baba wa ugaidi dunian
naamin utakuwa gayyy sio bure kwamba hujui wapalestina na waarab ndo huanza wavamia waisrael? muda si mrefu utakuwa mke wa Ayotollah
 
Bado sana hapajanasijiwa, siku mpinga kristo atakapoingia yerusalemu ndiya ataunajisi mji vibaya zaidi, atakufuru, hayo mashoga ni cha mtoto kwa kufuru atakayoifanya mpinga krista atakapoikalia jerusalem
 
Watu WEUSI wateendelea kudharaulika milele na milele kwa kuamini UJINGA ksma huu
 
Wanatumia akili hawa, wanapiga kikomando kwa sasa kabla kufanya uvamizi full
IDF stages overnight 'targeted raid' into Gaza Strip

Military says it struck Hamas sites, operatives in hours-long ‘targeted raid’ before returning infantry to Israeli side of border, as larger ground assault awaits​

The Israel Defense Forces deployed a limited ground incursion into Gaza overnight, sending infantry forces and tanks up to a kilometer into the northern part of the Strip, the military said Thursday morning.

The “targeted raid” appeared to be the most significant ground offensive into the Palestinian enclave since war broke out earlier this month, as the IDF prepares a full-scale invasion to eliminate the Hamas terror group that rules the Strip.

According to the IDF, the raid — led by the Givati infantry brigade and the 162nd Armored Division — was part of preparing the border area for the “next stages of the war,” referring to the full ground offensive promised by Israeli officials.
 
Back
Top Bottom