LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Kwa mujibu wa Israel ni kuwa, yoyote anamsaidia na kumficha gaidi naye ni gaidi tu, pale pale alipo atapigwa na kitu kizito akafe na gaidi mwenzake. Kila kitu kina gharama, na gharama ya kumtunza na kumficha gaidi mwisho huwa ni kifo
Kwa iyo hawa watoto wenye miaka 2 mpaka 7 waliouwawa na Waisrael ndio waliwaficha Hamas? ndio Mungu wao alivyowaambia wawaue hawa watoto?
 

Attachments

  • F8zLPWBXwAAegOP.jpeg
    103.6 KB · Views: 3
Washauri hamas waache mbinu za kishoga za kujificha sehemu hizo na waache kujificha nyuma ya raia na wavae sare za kijeshi kama wao wanaume kweli wa uwanja wa vita.
NB: DAWA YA MOTO NI MOTO NA AKUANZAE MMALIZE.
ndio maana Israel wameumua kuwamaliza hawa watoto sio? Ndio taifa teule waliotumwa na mungu kuua watoto sio?
 

Attachments

  • F8zLPWBXwAAegOP.jpeg
    103.6 KB · Views: 3
  • 0423c18c991af6bc4a3668a408d3bb94.jpg
    37.2 KB · Views: 3
Naamka usiku wa manane kuwambea dua waislam wa Palestina.
Pia familia yangu yote niamsha kufanya dua maalum kuwapombea Palestina wanaonyanganywa ardhi yao.
Dua ni silaha kwa adui
View attachment 2796545
Uandishi wa shida sana, yaani kipande kifupi tu ulichoandika makosa kibao. Mkiambiwa elimu ya madrasa pekee haitoshi mnakaza mafuvu.

Haya endelea kuwapombea dunia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ndio maana Israel wameumua kuwamaliza hawa watoto sio? Ndio taifa teule waliotumwa na mungu kuua watoto sio?
Ushawahi kuingia vitani???
ADUI AKIJIFICHA NYUMA YA MTOTO BASI UNAUA WOTE RISASI HAICHAGUI.
AFU MBONA HIZO PICHA ZA MIKAKATI ILI WAONEWE HURUMA NA DUNIA.
NB: MUNGU WA WAYAHUDI SIO ALLAH
NA HAO NDIO WATEULE WAKE YEYE
YEYE ANAITWA EL-SHADAI
 
Kwa iyo hawa watoto wenye miaka 2 mpaka 7 waliouwawa na Waisrael ndio waliwaficha Hamas? ndio Mungu wao alivyowaambia wawaue hawa watoto?
Wapiganaji wa hamas walienda kujificha kwenye nyumba waliyokuemo hawa watoto,,kwa uoga wa kupambana barabarani.
 
Wataachaje kuua watoto wakati wapiganaji wanatumia raia kujikinga?
Kama wao ni wanaume waende mstari wa mbele, pia raia wameonywa kuondoka hawataki unategemea waachwe huku wao wakiendelea kurusha silaha israel?

Acha haya maujinga nyie
Kwamba hamas wanawabeba watoto na kuwapeleka kwenye battle?tumia akili
 
Wapiganaji wa hamas walienda kujificha kwenye nyumba waliyokuemo hawa watoto,,kwa uoga wa kupambana barabarani.
Si wangewafuata huko huko kwenye hiyo nyumba? Si wana silaha na mafunzo ya kisasa? kilichowashinda ni kitu gani
Kwenye vita vyote mauaji ya watu wasio na hatia hayaruhusiwi. Hiyo ni sheria ya umoja wa mataifa. Ndio maana kwenye nchi zenye machafuko askari wa UN wanapelekwa kulinda raia
 
Unalojazwa ujinga wewe ndiyo imeshakuwa dunia nzima?

Ikiwa wewe umejazwa ujinga wakuamini myahudi ni Mungu wako, usifikiri dunia nzima wana ujinga huo.

Umeitaza avideo clip niliyoiweka juu hapo? Au bando la shemeji?
Sawa na wewe pagazi wa mwarabu unavyo mhusudu hadi jina umepewa la kwake eti ndio utaenda ahera na kurejeshewa ubikra wako ili uwastareheshe mashahidi wa allah anaokufa wakimpigania.
 
ndio maana Israel wameumua kuwamaliza hawa watoto sio? Ndio taifa teule waliotumwa na mungu kuua watoto sio?
Acha kutetea ujinga hao hamas walivo ingia israel waliteka na kuua mpaka watoto ila hilo hulioni hamas wanapelekewa moto mpaka kamasi zinawatoka ndo unawaona ni watu.Israeli piga vizee vyao na vigaidi vitoto mpaka siku nyingine wawe na akili.Hamas ni wapumbavu na mpumbavu ni kumjjibu kipumbavu tu hakuna huruma.
 
Sasa hao hamas wanaporusha roketi huwa hawajui kama huko wanakorusha roketi kule Israel hakuna raia wasio na hatia na wanawake na watoto??
NB: VITANI ADUI AKIJIFICHA KWENYE SHULE BAS UNALIPUA SHULE,
ADUI AKIJIFICHA MSIKITINI AU KANISANI UNALIPUA.
ADUI AKIJIFICHA NYUMA YA WANAWAKE NA WATOTO BASI UNAUA WOTE.
YAANI UNICHOKOZE NA UUE RAIA NA WANAJESHI WANGU AFU UKIMBILIE KWA RAIA UKIDHANI NITAKUACHA NA UNIPANGIE PA KUPIGANA NA WEWE ADUI YANGU???
HATA UKIVUA NGUO ZA KIJESHI NA KUVAA KIRAIA MIMI NAUA TU.
TUPO VITANI NA AKUANZAE MMALIZE.
 
Tatizo la hao mashoga mnaowatetea wanaua raia wasio na hatia walitakiwa wapigane na hao Hamas wenyewe sio kulipua grocery ,holy houses,hospitals,bakery ndio kuna Hamas huko?
Kule israel walilipua nn ..? Kama sio disco vumbi za raia wasio na hatia na kuteka wazee watoto tena watu wa mataifa mengine. Mna ujinga saana hivi mabichwa yenu yamejazwa yale maandishi ya kwenda kushoto na fikra zipo kushoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…