Laki Si Pesa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2018
- 5,085
- 9,022
Kwa iyo hawa watoto wenye miaka 2 mpaka 7 waliouwawa na Waisrael ndio waliwaficha Hamas? ndio Mungu wao alivyowaambia wawaue hawa watoto?Kwa mujibu wa Israel ni kuwa, yoyote anamsaidia na kumficha gaidi naye ni gaidi tu, pale pale alipo atapigwa na kitu kizito akafe na gaidi mwenzake. Kila kitu kina gharama, na gharama ya kumtunza na kumficha gaidi mwisho huwa ni kifo