LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Msemaji wa jeshi la utawala wa Kizayuni amekiri kuwa hadi sasa wanajeshi 311 wa Israel wameangamizwa tangu kuanza oparesheni ya Kimbunga cha Al Aqsa.
Mbona taarifa yako ni ya upande mmoja tu?
Mbona hujasema magaidi wa hamas wameangamizwa wangapi hadi sasa?
 
Kumbe mnaikubali Israel na jeshi lake eti? Yaani HAMAS wameishakufa zaidi ya elfu nne mnaona poa, lakini Waisrael 311 kufa mnaona ni ushindi! Ahahahahaha! Kweli Israel ni Taifa la Mungu na halitakiwi kuguswa!
 
Kumbe mnaikubali Israel na jeshi lake eti? Yaani HAMAS wameishakufa zaidi ya elfu nne mnaona poa, lakini Waisrael 311 kufa mnaona ni ushindi! Ahahahahaha! Kweli Israel ni Taifa la Mungu na halitakiwi kuguswa!
Hamas zaid 8 wamekufa halafu Israel anaomba majeshi UK na marekani. Shule ulienda kujifunza ujinga?
 
Hamas zaid 8 wamekufa halafu Israel anaomba majeshi UK na marekani. Shule ulienda kujifunza ujinga?
Labda babaako ndio alijifunza ujinga ndio maana kazaa toto jinga kama aliyewazaa Waarabu. Hivi Kuna mbwa wa Kiarabu anaweza kumpiga Muisrael?
 
huwa wanatisha kwa sura tu hawa, ila kwenye battle ground ni walaini zaidi ya maini. in Lema's voice.
 
Labda babaako ndio alijifunza ujinga ndio maana kazaa toto jinga kama aliyewazaa Waarabu. Hivi Kuna mbwa wa Kiarabu anaweza kumpiga Muisrael?
Haha haaa. Kumbe wewe mbaazi? Israel anakitu gani? Sema USA , NATO na UK wanashirikiana kupigana na hamas. Isreal cha mtoto. Isreal bila NATIO; AMERICA sawa na kumsukuma mlevi.
Isreal akisimama pekee yake Tanzania wanampiga
 
Hakuna asiyejua matokeo ya Vita. Hamas wanajua Hilo na ndio maana huoni wakiacha kupigana wanaendelea kuzchapa na both sides wanapata matokeo
 
Dunia tangu kuumbwa kwake inatawaliwa na yule yule aliyeiumba na siku zote haitoki nje ya kanuni zake.

Sheikh anasema hizi ni dalili kutoka kwa Allah kwa wale wanaoishi baada ya Firauni na wale wanaoishi maisha aliyoishi Firauni kutokana na hukumu aliyoipata Firauni.

Firauni alikuwa akipiga ardhi kwa miguu kutokana na kiburi chake cha kutaka kuwamaliza wana wa Israel (sio Mayahudi)

Alipoinua miguu yake ili awamalize kabisa,hapo Allah akaingilia kati kuwatetea wanyonge na akammaliza Firauni.

Hivi ndivyo wanavyofanya mayahudi wa Israel sasa.Maliza kabisa wapalestina! Ondoa kabisa wapalestina Gaza, Wapeleke Sinai, Ua wote waliobaki kwa mabomu, njaa na kiu.

Sheikh akamalizia kwa kusema "Historia lazima itajirudia.Najua ndani ya Israel kuna watu wenye ubinadamu na huruma kwa wenzao.

Ni wakati sasa wa kuhama mara moja kutoka humo kabla Allah hajaingilia kuwatetea wanyonge kwa kushusha balaa ambalo halitakuwa na wa kulizuia"
 
Zamani nilifikiri sheikh Ni MTU Fulani hivi amesoma Quran na kuielewa, Ni mtu mwenye uelewa mkubwa wa dini ya kiislamu na MTU mwenye maadili mema. Juzi tu Kuna mtu kanitonya kwamba sheikh Ni MTU yoyote mwanaume anayefuata dini ya mtume. Haijalishi kasoma au la, ana busara au la, ana maadili mema au la.
I rest my case.
 
Africa woiye woiye wooo! Africa Africa, Africa Africa eeeh...×2.

Wakati mwingine Mtu unaweza kukufuru bila kukusudia kwanini ulizaliwa ukiwa Mwafrika maana tuna utumwa wa kidini hadi tunatuia huruma.

Kongole kwa Rastafarians, Buddhism, Hinduism, Paganism dini za kuabudu kwa uhuru na hiyari bila ya kufatilia maisha ya Mtu kwa chuki, ubaguzi, husda, unafki, uzandiki, visasi hata mauaji kwaajili ya Mungu asiyeonekana ilihali wahanga ni Binadamu wenyewe kwa wenyewe tunaoonekana.

Dini zinatugawa hata Atheists "Wapinga uwepo wa Mungu" wana hekima zaidi ya Wafia dini[emoji848][emoji142]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…