Hao akili zao zilishaharibika kwa mapigano ya wao kwa wao.Niliwaona wale Faiza alidai wanaenda Gaza kwa miguu kupigana nikaishia kuwahurumia.Watu wenyewe miili dhaifu hawana hata lishe nzuri wanaweza fia njiani hata huko Gaza penyewe zaidi ya 2000Kms wasifike.Hawa waslamu wa Yemeni wanatafuta attention sana.
Wayahudi wakiwapiga mnalalamika kama wajawazito wanaojifungua..... Allah mnamsahau kabisaMashallah Allah is great!
Hivi ni kwamba huwa hujui kuliandika kwa usahihi jina la Netanyahu?[emoji3]Israel hawezi vita hio ni jeuri tu ya Natanyahu anaogopa kupelekwa jela [emoji1]
Kwahiyo Kaskazini wameshinda HAMAS? Acheni porojo wakati watu wanapukutika kama nzige,nenda kwa 'eye on Palestina' kawaangalie ndugu zako wanavyolia na kusaga meno kwa madhira wanayoyapitia.Uzuri ile page inapost uhalisia wa kinachotokea Gaza Kaskazini kupitia watu wa kawaida tu.Kaskazini wameshindwa je kusini wataweza?
Hahaha kama uliangalia vizuri, kwenye ile video wengine hawana mikono, mi nilihisi ni watu wanshida sana wameamua kujitoa muhanga-maytyr wakawahi mabikira. Au ni wafungwa walitoka jela wanatafuta namna ya kuishi.Hao akili zao zilishaharibika kwa mapigano ya wao kwa wao.Niliwaona wale Faiza alidai wanaenda Gaza kwa miguu kupigana nikaishia kuwahurumia.Watu wenyewe miili dhaifu hawana hata lishe nzuri wanaweza fia njiani hata huko Gaza penyewe zaidi ya 2000Kms wasifike.
Propaganda from masjid.Google inashirikiana na Israel kuficha habari ya wafu wa jeshi la IDF...
Na wala stori yeyote kuhusu maafa yao....
Media sensorship
Kama vile Ukrain sasa anachezea kichapo cha kufa mtu, lakini wamezima data....
Ila wewe hizo taarifa unazo vizuri kabisa!Google inashirikiana na Israel kuficha habari ya wafu wa jeshi la IDF...
Na wala stori yeyote kuhusu maafa yao....
Media sensorship
Kama vile Ukrain sasa anachezea kichapo cha kufa mtu, lakini wamezima data....
Sawa mwalimu nasikia Israel anakimbia Gaza 😄Hivi ni kwamba huwa hujui kuliandika kwa usahihi jina la Netanyahu?[emoji3]
Unaongelea sana mambo ya bikra kwani wewe bikra yako ulitolewa lini?Hao magaidi wa Hamas hawawezi tena kuitawala Gaza hata kama watapona kwenda ahera kupewa mabikra 72 na pombe inayotiririka kwenye mito ya huko, hilo wasahau.
Tunaiweka hii comment. Mpaka mwisho tusibadili huu mtazamo.Acha wakafe Mazayuni hayawezi guerilla war
Si haba mdogo mdogo tu.twitter.com/atras10/status…
Apparently Yemen bombs the Israeli cargo ship "Unity Explorer"
Zionist slaves American military ships and others came from Western bases in Djibouti Trying to rescue the Israeli cargo ship Unity Explorer which has now sunk in the Red Sea after being bombed from Yemen. By by. No where safe for zionist scumsView attachment 2832613View attachment 2832614
Unaweka comment ya nini waulizeni mabwana zenu vipi mateka waliobakia wataenda lini kuwakomboa Gaza yote si wameikamata.Tunaiweka hii comment. Mpaka mwisho tusibadili huu mtazamo.
Mkuu upo wapi?Kaskazini wameshindwa je kusini wataweza?
Huyo myemeni asiingilie vitu ambavyo havimuusu kwanza ni nchi masikin sana watu wake wengi wanakufa kwa njaa kila leo yaani ni nchi masikin hata tz inamuacha mbalii🤣🤣🤣Sawa mwalimu nasikia Israel anakimbia Gaza 😄
Afu yuko wapi America alijidai atakae leta ujeuri Middle East atamshambulia, Yemen kaipiga meli yake na ya Muingereza pia na pia zile Meli za Israel za kubeba mizigo.
Wale waliua watz wenzetu,Israel wapelekee moto magaidi