LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Hawa waslamu wa Yemeni wanatafuta attention sana.
Hao akili zao zilishaharibika kwa mapigano ya wao kwa wao.Niliwaona wale Faiza alidai wanaenda Gaza kwa miguu kupigana nikaishia kuwahurumia.Watu wenyewe miili dhaifu hawana hata lishe nzuri wanaweza fia njiani hata huko Gaza penyewe zaidi ya 2000Kms wasifike.
 
Kaskazini wameshindwa je kusini wataweza?
Kwahiyo Kaskazini wameshinda HAMAS? Acheni porojo wakati watu wanapukutika kama nzige,nenda kwa 'eye on Palestina' kawaangalie ndugu zako wanavyolia na kusaga meno kwa madhira wanayoyapitia.Uzuri ile page inapost uhalisia wa kinachotokea Gaza Kaskazini kupitia watu wa kawaida tu.
 
Hao akili zao zilishaharibika kwa mapigano ya wao kwa wao.Niliwaona wale Faiza alidai wanaenda Gaza kwa miguu kupigana nikaishia kuwahurumia.Watu wenyewe miili dhaifu hawana hata lishe nzuri wanaweza fia njiani hata huko Gaza penyewe zaidi ya 2000Kms wasifike.
Hahaha kama uliangalia vizuri, kwenye ile video wengine hawana mikono, mi nilihisi ni watu wanshida sana wameamua kujitoa muhanga-maytyr wakawahi mabikira. Au ni wafungwa walitoka jela wanatafuta namna ya kuishi.
 
Hivi Hao waHouthi wanajua lolote kuhusiana na insurance ZA meli! Mbona kamaa wanawafaidisha wanaowalenga
 
Google inashirikiana na Israel kuficha habari ya wafu wa jeshi la IDF...
Na wala stori yeyote kuhusu maafa yao....
Media sensorship
Kama vile Ukrain sasa anachezea kichapo cha kufa mtu, lakini wamezima data....
Propaganda from masjid.
 
twitter.com/atras10/status…

Apparently Yemen bombs the Israeli cargo ship "Unity Explorer"

Zionist slaves American military ships and others came from Western bases in Djibouti Trying to rescue the Israeli cargo ship Unity Explorer which has now sunk in the Red Sea after being bombed from Yemen. By by. No where safe for zionist scumsView attachment 2832613View attachment 2832614
Si haba mdogo mdogo tu.
 
Kaskazini wameshindwa je kusini wataweza?
Mkuu upo wapi?
Gaza kaskazini ipo chini ya umiliki kamili wa Israel kwa zaidi ya wiki mbili sasa, no entry or exit without permission of IDF.
Kituo kinachofuata kwenda kudhibitiwa na Israel ni Gaza Kusini.
 
Nasema ukweli kutoka kumoyo,sipendi mayahudi labda mpaka wabadilishe mienendo yao ila hawa wayemeni watafanyiwa mbaya hawataamini tuanze tena kulia lia wanaonewa kwa vyovyote hawawezi mayahudi hao hata kidogo alafu mbaya zaidi ni wapurukaji balaa.
 
Sawa mwalimu nasikia Israel anakimbia Gaza 😄

Afu yuko wapi America alijidai atakae leta ujeuri Middle East atamshambulia, Yemen kaipiga meli yake na ya Muingereza pia na pia zile Meli za Israel za kubeba mizigo.
Huyo myemeni asiingilie vitu ambavyo havimuusu kwanza ni nchi masikin sana watu wake wengi wanakufa kwa njaa kila leo yaani ni nchi masikin hata tz inamuacha mbalii🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom