Nyamizi
Platinum Member
- Feb 19, 2009
- 9,186
- 13,757
Hao akili zao zilishaharibika kwa mapigano ya wao kwa wao.Niliwaona wale Faiza alidai wanaenda Gaza kwa miguu kupigana nikaishia kuwahurumia.Watu wenyewe miili dhaifu hawana hata lishe nzuri wanaweza fia njiani hata huko Gaza penyewe zaidi ya 2000Kms wasifike.Hawa waslamu wa Yemeni wanatafuta attention sana.