Yemen Houthis Taifa teuleVita ya kiuchumi dhidi ya Israel inayoendeshwa na Yemen kwa nafasi yao vimezidi kushika kasi baada ya kuipiga meli nyengine ya mizigo iitwayo Aljasrah ikielekea Israel.
Meli hiyo ilikuwa ikipeperusha bendera ya Liberia.Kuonesha ukali wa vita hivi meli za kivita za Marekani,Israel na Ufaransa ambazo zimekuwa zikivinjari maeneo hayo zimekiri kutokea kwa shambulio hilo na hawakuweza kulizuia.
Saudi anakumbuka moto aliopelekewa na hao Houthis .Israel si alijidai kupele Meli ya vita mbona kakimbia [emoji1]
America katisha Yemen akamuita we kama mwanaume sogea. Kakacha kanza kuomba Saud Arabia na nchi za Gulf pamoja na Misri na Morocco wapigane na Yemen, naona leo wamefanya mkutano pale Saud Arabia je watawaweza Wayemen? Je Saud Arabia atasubutu kuchezea moto wa Yemen sidhani.
Mpaka sasa wanajeshi 2000 was IDF walemavu kutokana na vita ya Hamas 1658 Wana majeraha ya kawaida na 446 wamefariki ambao 117 wameua walipofanya ground invasion.Vipi wewe maoni yako mr? kwamba Hamas wanalo huo uwezo?? ebu twambie🤣🤣🤣🤣
Kuna serikali inayotambuliwa na Marekani na Saudi Arabia iko Riyaadh lakini wanaotawala ni wayemen chini ya jeshi la Houth na hao vibaraka walio Riyadh hawawezi kutia mguu Yemen.Hivi houthi ndio wanamiliki serikali inamaana yemen hamna serikali? Kama ipo yenyewe ina uhusiano gani kimataifa na nchi zingine
Pale watakuwa wanafuta kupambana na Iran!Israel si alijidai kupele Meli ya vita mbona kakimbia 😄
America katisha Yemen akamuita we kama mwanaume sogea. Kakacha kanza kuomba Saud Arabia na nchi za Gulf pamoja na Misri na Morocco wapigane na Yemen, naona leo wamefanya mkutano pale Saud Arabia je watawaweza Wayemen? Je Saud Arabia atasubutu kuchezea moto wa Yemen sidhani.
Wewe Paroko endelea tu kuwauzia waumini wako Chumvi ya mawe,haya mambo ya kimataifa achana nayo,usilete ukilaza wako hapa,nenda kauze maji ya upako uwapige hela.Hata octoba 7 mlisifia hivihivi.
mchelea mwana kulia hulia mwenyewe.
wengine wanakusanywa kama dagaa chumvi huko. Hao wamewekwa kiporo muda bado unaruhusu mtakuja kulialia tena hapa sio mda.🤐🤐🤐🤐
Siku israhell akiifuta hamas muje kutuambia hapaHao wamewekwa kiporo,Sasa hivi Israel kafocus kutilia mbali Hamas, hao nyau wengine waendelee kujitekenya tu wacheke wanaweza kufumuliwa usiku mmoja na wote wakaomba ukimbizi.
Wewe uliipanigia miezi miwili, wenyewe toka mwanzo walisema ni vita ngumu na ya muda mrefuUnajidanganya sana.Israel na Marekani wanadongoka hatua kwa hatua kuelekea dunia kuwa shawari.
Israel kama imeshindwa kuifuta Hamas kwa zaidi ya miezi miwili ilipokuwa na nguvu eneo ambalo wameliwekea vikwazo kwa takriban miaka 20 hawataweza hata siku moja kuwanyamazidha Houth.
Houth wanatawala nchi kubwa yenye nyenzo nyingi kuliko Hamas na ni watu wakali wasiokubali kushindwa.Na hiyo nchi iko mbali na eneo la kimkakati si rahisi kuvuka Saudi arabia kwa njia ya miguu kuwafuata maeneo yao.Na bila kujfanya hivyo mashambulizi ya anga hayatabadili kitu ardhini.
Saudia ndio us mwenyeweHivi saizi anaeiongiza Yemen ni nani na ukitaka kufanya mazungumzo let say ya kidplomasia unaongea na nani? Saudia na wenzie walidanganywaje na US kuiharibu hii nchi?
Watu waliobaki Gaza ya kaskazini kwa makisio ni karibu laki nne.Hiyo ni idadi ya wakazi wa mkoa mzima fulani wa Tanzania.Na walioko kusini kila giza likiingia wanatiririka kurudi makwao.Sababu wanayosema ni kuwa hakuna sehemu salama Gaza hivyo ni afadhali wabaki na kama ni kuuliwa wawe majumbani mwao au kwenye magovou ya nyumba zao.Siku israhell akiifuta hamas muje kutuambia hapa
Israhell hawezi kuifuta hamas hata afanyeje labda apige nyuklia
Pia israhell hawezi kuipiga houthi hata aambiweje
Kama kaishindwa hamas miezi mitatu hii naiko hapo jiran yake tena kapeleka mpaka askari wa miguu ataweza yemen
Yemen sana sana atapiga kwa mbali mbali hatapeleka hata mjusi na akipeleka mijusi kule watakua chakula cha houthi rasmi maana hawatarejelea makwao tena wakiwa salama
Huku Hamas kule Hizbullah hapa Houth na pale pembeni lazma kuna migambo ya Iran pale Syria watakua wanapeleka nakoz kwa mazayuni
Houthi kundi teule
Leo umeanza kukiri Israel inanguvu?Unajidanganya sana.Israel na Marekani wanadongoka hatua kwa hatua kuelekea dunia kuwa shawari.
Israel kama imeshindwa kuifuta Hamas kwa zaidi ya miezi miwili ilipokuwa na nguvu eneo ambalo wameliwekea vikwazo kwa takriban miaka 20 hawataweza hata siku moja kuwanyamazidha Houth.
Houth wanatawala nchi kubwa yenye nyenzo nyingi kuliko Hamas na ni watu wakali wasiokubali kushindwa.Na hiyo nchi iko mbali na eneo la kimkakati si rahisi kuvuka Saudi arabia kwa njia ya miguu kuwafuata maeneo yao.Na bila kujfanya hivyo mashambulizi ya anga hayatabadili kitu ardhini.
Dah inasikitisha sana hali wanayopitia Palestine hasa wa ghazaWatu waliobaki Gaza ya kaskazini kwa makisio ni karibu laki nne.Hiyo ni idadi ya wakazi wa mkoa mzima fulani wa Tanzania.Na walioko kusini kila giza likiingia wanatiririka kurudi makwao.Sababu wanayosema ni kuwa hakuna sehemu salama Gaza hivyo ni afadhali wabaki na kama ni kuuliwa wawe majumbani mwao au kwenye magovou ya nyumba zao.
Jana kuna bibi mmoja aliyezaliwa mwaka 1944 ambaye alikaa nje ya nyumba yake IDF wakamuua.Mwanzoni alikwenda kusini halafu akarudi nyumbani kwake kaskazini.wako wengi kama yeye.Tuseme idadi ya watu mjini Gaza inaongezeka kwa kasi.Hali hiyo ina maana Israel itakuwa imeshindwa kuikalia Gaza na imeshindwa kuwafuta Hamas hapo.Hata kama chakula hakipelekwi lakini wanakula japo kwa shida.
Sasa hili linahitaji tochi israhell wana ndege manuari meli vita nyuklia wanasaidiwa namataifa yote ya ulaya na waarabu piaLeo umeanza kukiri Israel inanguvu?
Hivi nyinyi Watanzania ni nani kawaroga?
Hii taatifa mbona haina chanzo? Au chanzo ni wewe mleta mada?