LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums

Nje kadogo na Mada chief nifundishe namna ya ku- devide comment kama wewe ulivyofanya hapa kama hutojali,kila nikijaribu nashindwa.

Nb:- namaliza ibada ya Christmas narudi kukupa ushahidi wa maneno yako mwenyewe otherwise.
 
Attachments

  • 20231225_141914.jpg
    557 KB · Views: 3
3,000 Israeli Soldiers Have Become Permanently Disabled: Israeli Media

By Al Mayadeen English

22 Dec 2023

As of December 9, the number of IOF soldiers who have been injured since the start of the operation Al-Aqsa Flood has reached 5000.

Israeli broadcaster Channel 12 revealed on Friday that 3,000 Israeli Occupation Forces (IOF) soldiers who sustained injuries as a result of the ongoing Israeli aggression on Gaza have been classified among those with "permanent disabilities in the army."

According to the news broadcaster, the number of IOF soldiers wounded since October 7 has reached 5,000 as of December 9.
 
Huyu zitto junior na Pro-Palestinians wengi hasa Waislam ambao hawajifunzi kuhusu historia na kujibu kwa hoja na common sense.

Kuna humu kaniambia Wapalestina ndio Israleties na kujenga hoja akaleta reference ya maadui wa Wanaisrael (Wafilisti na Warumi).

Ukweli ni hivi hawa Wapalestina wa sasa wanaopigania Uhuru wa hiyo nchi huwezi ukawaunganisha na Jamii yoyote hapo zaidi ya wahamiaji.

Ukimfata Mahamood Abbas, Umuulize King Solomon alikuwa Mfalme wa Wayahudi au Wapalestina atakujibu kuwa alikuwa mfalme wa Wayahudi, nani alikuwa Mfalme wenu hatowahi kukujibu milele.
 
Ukimfata Mahamood Abbas, Umuulize King Solomon alikuwa Mfalme wa Wayahudi au Wapalestina atakujibu kuwa alikuwa mfalme wa Wayahudi, nani alikuwa Mfalme wenu hatowahi kukujibu milele
Nani kasema Palestinians ni wayahudi/israelites? Ilihali hao waisrael walikuta descendants ya wafilisti yaani makabila kama Amorites, Jebusites, Gilgashites, Hivites, Hittites..... kwanini mnalazimisha kwamba ni lazima kila aliyeishi Canaan/Palestine ni muisraeli? Israel ni wageni kutoka Syria na Iraq sio kwamba ndio walikua naturally kutokea hapo Palestine/Canaan!!
Huyu @zitto junior na Pro-Palestinians wengi hasa Waislam ambao hawajifunzi kuhusu historia na kujibu kwa hoja na common sense.
Mimi sio muislam ni mkristo tena theologian ila I'm pro Palestine maana hao wayahudi hapo sio taifa la Mungu tena walikua agano la kale tu ila kuanzia agano jipya hilo taifa ni kawaida tu kama Tanzania au Iran!!
Kuna humu kaniambia Wapalestina ndio Israleties na kujenga hoja akaleta reference ya maadui wa Wanaisrael (Wafilisti na Warumi).
Huyo kapotosha wala hakuna aliyesema palestines ndio waisrael ila wanachosema wao ni kwamba palestines ni asili yao pale miaka na miaka as in wametokana na ancient canaanite tribes nilizotaja hapo juu. Hao waisrael walitokana na wasyria huko na semitic tribes za Iraq huko.
 
Mimi sio muislam ni mkristo tena theologian ila I'm pro Palestine maana hao wayahudi hapo sio taifa la Mungu tena walikua agano la kale tu ila kuanzia agano jipya hilo taifa ni kawaida tu kama Tanzania au Iran!!
Theologian halaf ndo unaandika haya! anyway kuna theologia nyingi sana🤣 maana ni siku za mwisho hizi...watu wa type yako walishatabiriwa kuwepo....ili ule mwisho ufike....
 
Hao 20% ya waislam wa Israel unajua ni watu wa jamii gani???

Acheni unafiki.....wa historia...hiyo asilimia 20% ni waarabu wa palestina waliochukua uraia wa Israel
Embu soma upya, kama issue ni uislam hao waislam waliopo Israrel si wangekua wanajitoa muhanga? Je na wao wangejiunga IDF kuua waislam wenzao wa Gaza? My point is hapo hakuna cha udini maana hata hao IDF wanaua wakristo na wayahudi wa kipalestina. Wala hakuna niliposema 20% ya Jews (Jamii) ni waislam ila 20% ya Israel (Nchi) ndio waislam.
 
Theologian halaf ndo unaandika haya! anyway kuna theologia nyingi sana🤣 maana ni siku za mwisho hizi...watu wa type yako walishatabiriwa kuwepo....ili ule mwisho ufike....
Nimeandika ndio mbona Bible ndio inasema hayo sio maneno yangu? Acha kukariri mambo mbona Kabila la Dani lilifutwa kwenye makabila ya Israel ilihali Mungu aliahidi hatomtupa hata mmoja?
 
Kwanza nashukuru kwa kukubali kuwa Palestinians sio Israelites.

Pili naunga mkono kuwa Makabila ya Canaan yalikuwepo kabla ya First Abraham na Isaac kuunda nchi yao, na hata King David aliconqure Jerusalem kutoka kwa Jubesites, Moja ya Makabila ya Wakaanani.
Hiistorical point of view, Israelites was distinct group of Canaanites ambao walijitofautisha na wenzao na kuunda taifa lenye utamaduni tofauti kama Kuabudu Mungu mmoja.

swali langu linabaki pale pale, Wapalestina wa Leo tunawatrace na Kabila lipi Wakaanani na Wapalestina wa sasa
 
"Kuna humu kaniambia Wapalestina ndio Israleties na kujenga hoja akaleta reference ya maadui wa Wanaisrael (Wafilisti na Warumi)".

Sasa hivi anakataa,nasema hakusema hivyo.
Kitendo cha kusema hawa wapalestina wanashea vinasaba kwa asilimia kubwa ana wayahudi wa kale hiyo ni maana tosha na kusema hawa wapalestina ndiyo jews na ha wengine imposter.
Huyu jamaa anatumia elimu yake vibaya.
 
Kama insu ni hiyo mbona huwashambulii wapalestina maana hata wao hapo si kwao.
Wenyeji wa hiyi ardhi ni wafilisti na sasa hawapo mbona .
Jews na non jews wote si kwao,asili yao ni ni iraq sasa kwanini uone shida kwa Jew kukang'ang'ania hapo ila at the same times unasapot hao upande mwingine?.
Kati ya waarabu na wayahudi ni yupi mwizi wa ardhi kwa mjibu wa fact na nje na chuki zako zisizo na sababu kwa wayahudi?.

Angalia hiyo ramani, kati ya myahudi na mwarabu nani mwizi wa ardhi kwa fact hii?.
 
Attachments

  • received_737633991755939.jpeg
    62.3 KB · Views: 2
Nimeandika ndio mbona Bible ndio inasema hayo sio maneno yangu? Acha kukariri mambo mbona Kabila la Dani lilifutwa kwenye makabila ya Israel ilihali Mungu aliahidi hatomtupa hata mmoja?
Siku za mwisho hizi na mojawapo ya dalili ni watu kunena ukengeufu, uwongo, kama vile ni kweli ya Mungu wa biblia na ndicho kinachoendelea.
 
Kusema ukweli hawa magaidi wa hamas wanasababisha mateso sana kwa wazee na watoto.

Wamesababisha watoto wengi kufa ktk mazingira ambayo hawezi kujitetea kwa kujificha au kukimbia.

Magaidi ya Hamas yamechimba mahandaki badala ya kuwaficha watoto wao wapambane ana kwa ana.

Matokea yake wamejificha kwenye mahandaki na juu ya handaki kufanya mashule, mahosptal, nyumba za ibada n.k.

Magaidi haya yanashambulia yakiwa kwenye mahandaki bila kujali inawatesa watoto.

Walisema mwarabu hazikuwa maneno anaskia risasi tu ndio anachofanya Israeli.

Hivyo ningeomba israeli iwachukue watoto wote iwahamishie jordan au misri ili yabaki magaidi tu

Nawaomba sana israeli ifanye hivyo hakuna kitu kinauma km kupoteza mtoto

Hawa watoto wakamatwe wapelekwe nje ya palestine ili magaidi ya Hamas yashugulikiwe vizuri

Kwa wasiotaka kwenda basi watakuwa wamechagua wenyewe
 
Kumbe wanajificha msikitini wanarusha makombora
__

Hezbollah fired from within a mosque in southern Lebanon toward Israeli civilians.

This is not Hezbollah’s first attack involving a holy site today.

Places of worship should be sacred, not sacrificed for terrorism.

source: IDF Instagram official page

Your browser is not able to display this video.
 
Propaganda as usual mmewashindwa migambo 10 ya Hamas mtawaweza hao!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…