LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Israel imekiri ndani ya siku mbili askari wake 6 wameuawa na Magaidi wa Hamas hivyo Uwanja wa Vita unatanuliwa Khan Younis yote itahusika raia waende maeneo salama kwa kadri watakavyoelekezwa

Source Al jazeera news
 
Mwana kulitafuta mwana kuliget, wameyaanza wenyewe kumchokoza mbaba wa watu. 😀!
 
Mpaka muishe wote maana mbegu moja ya gaidi ni hatari,hivyo kuwafuta kwenye ramani ya dunia ndiyo suluhisho.
 
Ntiti juu ya ntiti na hakuna mwarabu atatia pua yake kuwasaidia wafilisti atachapika !!!!
 
Sasa na nyinyi si muwaue hao Mayahudi waliowavamia kwenye ardhi yenu; badala ya kulia lia tu kila siku. Nyinyi Waarabu vipi bhana!! Acheni kuendekeza unyonge.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…