LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Israel imekiri ndani ya siku mbili askari wake 6 wameuawa na Magaidi wa Hamas hivyo Uwanja wa Vita unatanuliwa Khan Younis yote itahusika raia waende maeneo salama kwa kadri watakavyoelekezwa

Source Al jazeera news
 
Hawa Wayahudi sasa inatosha.... Kwani sisi hamas tumeua idadi kama hiyo? Mbona mnafanya kama Maisha ya Waisrael yana thamani sana kuliko ya Wapalestine? Mpaka sasa mmeua zaidi ya wapale 21,000 na leo tena mmeendelea kuua.

Jamani Irani, Iraq, Yemen, Pakistan, Afgh, Tanzania, Somali, Sudan, Egypt, Morroco mpo wapi? Tunaangamia sisi wenzenu.

Sasa Dunia iamkae iache kuwaogopa hawa Waisrael. Kale ni kanchi kadogo sana. Kadogo sana.
Mwana kulitafuta mwana kuliget, wameyaanza wenyewe kumchokoza mbaba wa watu. 😀!
 
Hawa Wayahudi sasa inatosha.... Kwani sisi hamas tumeua idadi kama hiyo? Mbona mnafanya kama Maisha ya Waisrael yana thamani sana kuliko ya Wapalestine? Mpaka sasa mmeua zaidi ya wapale 21,000 na leo tena mmeendelea kuua.

Jamani Irani, Iraq, Yemen, Pakistan, Afgh, Tanzania, Somali, Sudan, Egypt, Morroco mpo wapi? Tunaangamia sisi wenzenu.

Sasa Dunia iamkae iache kuwaogopa hawa Waisrael. Kale ni kanchi kadogo sana. Kadogo sana.
Mpaka muishe wote maana mbegu moja ya gaidi ni hatari,hivyo kuwafuta kwenye ramani ya dunia ndiyo suluhisho.
 
Ntiti juu ya ntiti na hakuna mwarabu atatia pua yake kuwasaidia wafilisti atachapika !!!!
 
Hawa Wayahudi sasa inatosha.... Kwani sisi hamas tumeua idadi kama hiyo? Mbona mnafanya kama Maisha ya Waisrael yana thamani sana kuliko ya Wapalestine? Mpaka sasa mmeua zaidi ya wapale 21,000 na leo tena mmeendelea kuua.

Jamani Irani, Iraq, Yemen, Pakistan, Afgh, Tanzania, Somali, Sudan, Egypt, Morroco mpo wapi? Tunaangamia sisi wenzenu.

Sasa Dunia iamkae iache kuwaogopa hawa Waisrael. Kale ni kanchi kadogo sana. Kadogo sana.
Sasa na nyinyi si muwaue hao Mayahudi waliowavamia kwenye ardhi yenu; badala ya kulia lia tu kila siku. Nyinyi Waarabu vipi bhana!! Acheni kuendekeza unyonge.
 
Back
Top Bottom