Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 19,559
- 36,514
Mimi sipo kwa mtoa mada mzee tuelewane tuuuTaarifa nyingi xina ukweli. Nime share taarifa yao ikisema waliouawa ni 9, ila mleta mada kaleta taarifa tofauti akidai imeandikwa na hao ak7dai waliuawa ni 100, wakati waliuawa ni 9 waliuawa kwenye mlipuko uliotokea kwenye factory ya silaha Hamas
View attachment 2866836
Nasikia hamas ishafutwa 😀🤣😀Hawa magaidi wa dini wanapata jeuri maana walishalipua Saudi Arabia kipindi fulani walipotishwa....
US and UK forces shot down 21 drones and missiles fired by Yemen-based Houthis on Tuesday into the Southern Red Sea towards international shipping lanes, the US military's Central Command said.
US Central Command said there were no injuries or damage reported, adding that this was the 26th Houthi attack on commercial shipping lanes in the Red Sea since November 19.
Israel-Hamas War: What happened on day 96?
War cabinet discusses Qatari proposal for Gaza • IDF takes over key south Gaza village • Gantz: Gaza Strip 'effectively' free of Hamas rulewww.jpost.com
Kumbe huwajuwi wazee wa gomba wewe.😂😂😂😂😂 hatari ipi wakati wa Yemeni wamezidiwa na kwashiokor, safura, kifaduro kipindupindu na kila aina ya magonjwa ya kimasikini na uchafu, waende huko Tel Aviv kutoa msaada siyo kuvizia meli za kiraia kama maharamia wa kihuni tu, meli za kijeshi hawazigusi wanaziogopa! Wayemeni wenzao wamekimbia njaa kwao wamejaa Gairo wakawasaidie kwanza.
Nasikia hamas ishafutwa 😀🤣😀
Huwa sikisii.Picha za kutengeneza hakuna kitu kama hicho
View: https://twitter.com/CENTCOM/status/1744898491917492690?t=LKSxu5sdNu8nwrkuN29DOQ&s=19
Aljazeera ndio wanatoa live coverage ya hiyo vita hata Hamas wakifanya shambulio watu wa kwanza kuwatumia ni hao Aljazeera japo wamekaa ushabiki ila ndio source ya habar nyingi zinazotokea Frontline sasa kama wao wamesema wamekufa IDF 9 Russia today ni nani wa kusema vinginevyo?Russia today walirusha video ikionesha askari zaidi ya 10 wakishambuliwa na kuuawa,iweje hao tisa iwe siku mbaya kuliko zote!?
Kuna clip nyingi tu aljazeera hawana na tumeziona mtandaoni telegram,Gaza today au abdallah Al atarAljazeera ndio wanatoa live coverage ya hiyo vita hata Hamas wakifanya shambulio watu wa kwanza kuwatumia ni hao Aljazeera japo wamekaa ushabiki ila ndio source ya habar nyingi zinazotokea Frontline sasa kama wao wamesema wamekufa IDF 9 Russia today ni nani wa kusema vinginevyo?
Kwa hiyo Sinwar dume zima na ndevu zake badala ya kwenda front kupambania wapalestina lenyewe linajificha kati ya mateka dah aibu sana si atoke front ampambanie allah hata akifa si anaenda kwenye mito ya pombe na mabikira 70Jeshi la Israel kupitia msemaji wake lasema linapajua alipo kiongozi wa Hamas Yahya Sinwar kazungukwa na mateka wa Israel waliowateka anawatumia kama ngao yaani human shield ili asishambuliwe na jeshl la Israel wameshapaina alipo
Bas sawaKuna clip nyingi tu aljazeera hawana na tumeziona mtandaoni telegram,Gaza today au abdallah Al atar
Siyo kweli kijana, kuna wanahabari wengi front huko. Sasa jionee mazayuni wenyewe wanasemaje:Aljazeera ndio wanatoa live coverage ya hiyo vita hata Hamas wakifanya shambulio watu wa kwanza kuwatumia ni hao Aljazeera japo wamekaa ushabiki ila ndio source ya habar nyingi zinazotokea Frontline sasa kama wao wamesema wamekufa IDF 9 Russia today ni nani wa kusema vinginevyo?
Mwambie ndiyo Hezbollah wanachotaka hicho:
Hahahahaha, hao hata kalenda walisema jedwali ya kubadilishana za mu Hamas.
Hongereni kwa kuifuta hamas kwahakika idf wanajeshi lakupigiwa mfano sanaa🤣😀🤣
Hamas kundi teuleMpaka sasa tumefuta 23,000 na hesabu inaendelea...
Hao ni takataka wanajifinya na kucheka wenyewe.Houthi wanapigwa huko, kelele tutasikia asubuhi
Hizo ni kelele za America tumeisha zizowea ndio mana yeye na mke wake muingereza wamekimbilia kutangaza vita imeisha kwa sasa 😄
VIta ndiyo vimeanza yeye anatangaza kumaliza😂Hizo ni kelele za America tumeisha zizowea ndio mana yeye na mke wake muingereza wamekimbilia kutangaza vita imeisha kwa sasa 😄
Vipi iishe wakati ndio imeanza, tuone sasa kama kuna meli zao zitapita Red Sea
Tatizo si kuanza tatizo nani mwenye pumzi refu nyie subirini muone hao walio shirkin kama hawakuwapigia magoti Yemen, mnadhani Yemen ni JWTZ 😄