LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Nasser Salah Al-Din Brigades Commander, Raafat Harb Hussein Abu Hilal, was killed earlier today in an IDF airstrike.
 
Naona Israel wameamua kwenda kuichukua Gaza mazima-mazima
Yaani wewe umeongea. Yaani wametengeneza hayo makundi ya wavamizi wakawapa na mbinu za namna ya kuingia. Kibaya wakaruhusu mpaka watu wao wafe ili gaza yote iwe mikononi mwao. Ila ni intelijensia ya ajabu. Nashangaa wanaposema eti they were surprised ni uongo kabisa. Na you can see 4000 plus palestian dead ila huku ni almost 700, hapo inaonesha IDF wanafanya mass killing huku big watchers wanaangalia kwa raha
 
Zile meli za USA zilizosogezwa Sio kwa ajili ya magaidi ni kwa ajili ya taadhari mfano ikitokea nchi za kiarabu zikiinuka zote kuingia vitani.
Naiona Bei ya mafuta ikipaa lita itafika elf 10
Kwa hiyo unakataa kuwa Israel haijaomba msaada.
 
Ni kweli kimwili kabisa,kisiasa etc ni ngumu kuamua!
Lkn tukija kiimani hapa Ile ni kaanani!
Ndo maana tunasema hii vita haiwezi kuisha mpka Yesu anarudi!
 
Yaani inapambana na kikundi cha wahuni ninacho miliki bunduki na viroketi unaomba msaada ndo itaweza kubambana na Iran?
 
Hata Israel hapakaliki wote sasa hivi wamejificha kwenye mahandaki.

Na mpaka sasa wamesha kufa 1000.
 
Kiukweli hata mi nashangaa kweli walivamiwa?
Kirahisi kabisa?
Anyway labda mi sijui mambo haya!
Though najua Israel wengi kufa sbb walivamiwa walipokuwa kwenye sherehe za sukott(mabanda).

Ngoja tuone mambo yanavyoenda
 
Usishangilie mkuu.Kikubwa ni kuombea amani irejee.

Nikukumbushe tu kwamba ninavyoandika meseji hii Kuna mamia ya wanafunzi kutoka Tanzania na wengine wanaofanya kazi kule.

Ko kama huwapendi Wa Israel ,fikiria kuhusu watanzania wenzako.
Unazungumziaje suala la Wapelestina kuteswa kwa miaka 75? Kwako wewe ilikuwa ni sherehe.
 
Dada una mqundu (inye) nzuri.
Unafanyaga mapenzi kinyume?
 
Mkuu kwa nini israel ipewe msaada wa kijeshi wakati haijatumia chochote bado na inapigana na vikundi vya kiraia tu. Nimesikia Biden anataka kumpa msaada wa kutosha. Au kuonyesha support tu.
bila msaada huyo chap wanamfuta kama hujui ilo bhc uko brainwashed
 
Mmiliki halali wa eneo Hilo ni palestina, hata mataifa makubwa duniani Kama US wanalijua Hilo, lakin kwakua wanaoishikilia US ni watu wenye nguvu walionyuma ya pazia ndio, waliowapeleka hawa wayahudi feki wa kizungu eneo hilo napia mwanzo walitaka wawapeleke Uganda cjui ikawaje wakagoma.

Lakini nachojua hii ilikua danganya toto maana lengo maalumu la kupelekwa hawa wayahudi feki wa kizungu hapo Israeli ni kuisadia marekani chini ya ma elites ili kuiharibu mashariki ya kati mpaka kupatikane matokeo chanya wanayotaka wakubwa wa dunia hii.
 
Mkuu iran unaichukuliaje?
 
Huwa tunaikuza sn israel hila bila misaada na mikopo hata mishahara ya wafanyakazi itawashinda sasa km battle na hamas wameomba msaada halafu ndio huwa wanataka kushambulia iran
Akili za CCM hizi jamani, mnaikuza Israel na nani? ebu tuwekee hapa GDP yao tulinganishe na yetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…