johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Nchi inaitwa filistine tangu enzi ya ibrahim.Hakuna mcanaanayo yupo hai wewe. Ile breed yote ishafutwa. Ni kama wanefili hao watu hawapo. Hilo eneo liliitwa Palestine na Roman by the time wanatawala hapo. Baada ya mapigano na Jews wakitaka kujikomboa. Hawa hapo wote waarabu walichukua nchi ya watu baada ya makalifa kushinda vita.
Bibilia? Mbona taifa ilo linaipinga alaf nyie mnaitetea huoni una tatizo la kiutumwa hapoHujasoma biblia labda. Ni taifa teule
ndugu zetu?....ukivuruga amani ya mwenzako naye atavuruga yako. hakuna cha kuombana tuombe hapo.Yoav Gallant Waziri wa Ulinzi wa Israel amesema wameizunguka Gaza na hawataruhusu Chakula, Umeme wala Mafuta kuingia
Tunapigana na Binadamu Wanyama sana na Sisi lazima tuwatendee hivyo hivyo, amesisitiza
Watanzania tuzidi kuwaombea ndugu Zetu wa Palestine!
Ismail ama? nabii ismail amani iwe juu yake alihamia na mamake katika bonde la makka na wakaanza maisha yao hapo na ndiye baba wa waarabu wa leo.Kabla ya Isaka kuna mtoto alizaliwa tena wa kiume, unaweza kutueleza alienda wapi? Je alirithi nini?? La pili, Yakobo na kizazi chake walienda Misri, je kizazi cha Essau kilienda wapi?? Kumbuka mtoto wa kwanza wa Ibrahim naye alipata uzao.
Palestine Wana Ubalozi Tanzaniandugu zetu?....ukivuruga amani ya mwenzako naye atavuruga yako. hakuna cha kuombana tuombe hapo.
Kuna watoto na wanawake wasio na hatia wanasababishiwa vifo bila sababuYoav Gallant Waziri wa Ulinzi wa Israel amesema wameizunguka Gaza na hawataruhusu Chakula, Umeme wala Mafuta kuingia
Tunapigana na Binadamu Wanyama sana na Sisi lazima tuwatendee hivyo hivyo, amesisitiza
Watanzania tuzidi kuwaombea ndugu Zetu wa Palestine!
TuwaombeeKuna watoto na wanawake wasio na hatia wanasababishiwa vifo bila sababu
Wajisalimishe yaisheHio Strategy itasababisha vifo vingi sana,na wengi watakufa kwa Njaa.
mkuu kumbe upo! habari za miaka bana. Siku hizi adimu sana humu jukwaani. Baada ya salamu sasa niseme neno. Kweli HAMAS wamepiga bonge la ambush, wamefaulu sana. LAKINI kile kinachoendelea sasa huko gaza ni kitu cha kutisha ambapo kazi hiyo inafanywa na hao MAYAHUDI. Huyu USA hapeleki hayo madudu kwaajili ya kupiga gaza. USA anapeleka kwa 1. Kujitanua kijeshi midle east na 2. Kweli kuitetea Israel kutokana na viherehere wanaoimba kila siku kutaka kuifuta Israel ktk ramani ya dunia. Sasa yote ktk yote, vita haifai. Ungekuwa na ndugu huko gaza wangekuelezea matatizo ya huko. Kwa upande wangu naumia kwa kuwa wanaokufa pia pale Palestine ni ndg zangu ktk imani (wakristo).Hamas nomna wamewaliza mpaka wanaomba msaada kwa Matekani mikwala mingii kumbe hanna lolote.
Kwani mkuu ukiskia wakaanaani ni wabantu?.Asili yao ni waarabu