LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Yoav Gallant Waziri wa Ulinzi wa Israel amesema wameizunguka Gaza na hawataruhusu Chakula, Umeme wala Mafuta kuingia

Tunapigana na Binadamu Wanyama sana na Sisi lazima tuwatendee hivyo hivyo, amesisitiza

Watanzania tuzidi kuwaombea ndugu Zetu wa Palestine!
 
Hakuna mcanaanayo yupo hai wewe. Ile breed yote ishafutwa. Ni kama wanefili hao watu hawapo. Hilo eneo liliitwa Palestine na Roman by the time wanatawala hapo. Baada ya mapigano na Jews wakitaka kujikomboa. Hawa hapo wote waarabu walichukua nchi ya watu baada ya makalifa kushinda vita.
Nchi inaitwa filistine tangu enzi ya ibrahim.
 
Yoav Gallant Waziri wa Ulinzi wa Israel amesema wameizunguka Gaza na hawataruhusu Chakula, Umeme wala Mafuta kuingia

Tunapigana na Binadamu Wanyama sana na Sisi lazima tuwatendee hivyo hivyo, amesisitiza

Watanzania tuzidi kuwaombea ndugu Zetu wa Palestine!
ndugu zetu?....ukivuruga amani ya mwenzako naye atavuruga yako. hakuna cha kuombana tuombe hapo.
 
Kabla ya Isaka kuna mtoto alizaliwa tena wa kiume, unaweza kutueleza alienda wapi? Je alirithi nini?? La pili, Yakobo na kizazi chake walienda Misri, je kizazi cha Essau kilienda wapi?? Kumbuka mtoto wa kwanza wa Ibrahim naye alipata uzao.
Ismail ama? nabii ismail amani iwe juu yake alihamia na mamake katika bonde la makka na wakaanza maisha yao hapo na ndiye baba wa waarabu wa leo.
 
Vita anapigana mzungu halafu Mzaramo na Mmkonde anashangalia baada ya kukomalia kupata katiba mpya na time huru unashughulika na mambo yasiyokuhusu, eti Israeli Isarael, Israeli ni nani ktk maisha Yako anakusaidia nn? Twendeni barabarani tukadai katiba mpya , Israel Wala Palestine hawana mchango wwt ktk maisha yetu
 
Hivi mnashinda kwa raha gani watz??Hivi mna habari kuwa mkuu wa kikosi cha jeshi la Israel cha kupambana na ugaidi ambaye amehusika na mauaji ya viongozi wengi wa Hamas na Palestina amekwishadakwa na Hamas?

Kupatwa kwa taifa teule! Huyu sijui watamfanya nini nashindwa kuimagine

BREAKING: Absolutely massive news out of Gaza!!!!!!!!!! Saraya al-Qassam has just captured Commander Shekhov Soram of the elite 'Israeli' counterterrorism unit, YAMAM! [https://abs-0] [https://abs-0] Who is Commander Soram, you ask?!?!?!?!? This HAT-RAT [https://abs-0] [https://abs-0] is one of the killers of none other than Lions' Den [https://abs-0] founder Ibrahim al-Nabulsi (R.A.), who was murdered by multiple IOF battalions on August 9th, 2022!
F7_wMhcXEAARJza.jpg
 
If Hezbollah joins war vs. Israel:
1. Element of surprise reduced to zero
2. IDF already heavily deployed in north
3. Israelis already leaving border towns
4. Global support for Israel huge now
Hezbollah faces real dilemma: Joining the war could be a hugely disastrous decision.
 
Yoav Gallant Waziri wa Ulinzi wa Israel amesema wameizunguka Gaza na hawataruhusu Chakula, Umeme wala Mafuta kuingia

Tunapigana na Binadamu Wanyama sana na Sisi lazima tuwatendee hivyo hivyo, amesisitiza

Watanzania tuzidi kuwaombea ndugu Zetu wa Palestine!
Kuna watoto na wanawake wasio na hatia wanasababishiwa vifo bila sababu
 
Hivi mnashinda kwa raha gani watz??Hivi mna habari kuwa mkuu wa kikosi cha jeshi la Israel cha kupambana na ugaidi ambaye amehusika na mauaji ya viongozi wengi wa Hamas na Palestina amekwishadakwa na Hamas?

Kupatwa kwa taifa teule! Huyu sijui watamfanya nini nashindwa kuimagine

BREAKING: Absolutely massive news out of Gaza!!!!!!!!!! Saraya al-Qassam has just captured Commander Shekhov Soram of the elite 'Israeli' counterterrorism unit, YAMAM! [https://abs-0] [https://abs-0] Who is Commander Soram, you ask?!?!?!?!? This HAT-RAT [https://abs-0] [https://abs-0] is one of the killers of none other than Lions' Den [https://abs-0] founder Ibrahim al-Nabulsi (R.A.), who was murdered by multiple IOF battalions on August 9th, 2022!
F7_wMhcXEAARJza.jpg
 
Hamas nomna wamewaliza mpaka wanaomba msaada kwa Matekani mikwala mingii kumbe hanna lolote.
mkuu kumbe upo! habari za miaka bana. Siku hizi adimu sana humu jukwaani. Baada ya salamu sasa niseme neno. Kweli HAMAS wamepiga bonge la ambush, wamefaulu sana. LAKINI kile kinachoendelea sasa huko gaza ni kitu cha kutisha ambapo kazi hiyo inafanywa na hao MAYAHUDI. Huyu USA hapeleki hayo madudu kwaajili ya kupiga gaza. USA anapeleka kwa 1. Kujitanua kijeshi midle east na 2. Kweli kuitetea Israel kutokana na viherehere wanaoimba kila siku kutaka kuifuta Israel ktk ramani ya dunia. Sasa yote ktk yote, vita haifai. Ungekuwa na ndugu huko gaza wangekuelezea matatizo ya huko. Kwa upande wangu naumia kwa kuwa wanaokufa pia pale Palestine ni ndg zangu ktk imani (wakristo).
 
Back
Top Bottom