Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 24,844
- 29,126
Ndo nashangaaParestina, Islael na Saudia wamekuwa kwenye mazungumzo ya amani ya mashariki ya kati - majuzi tu walikuwa wa sign makubaliano - cha ajabu hao magaidi wameingilia kati mazungumzo na vita hii sasa. Hamas watafagiliwa Gaza rasmi.
Israel controls Gaza's air and maritime space and six of Gaza's seven land crossings. Israel reserves the right to enter Gaza at will with its military and maintains a no-go buffer zone within the Gaza territory. Gaza is dependent on Israel for its water, electricity, telecommunications, and other utilities.
dadadadadaaaahYoav Gallant Waziri wa Ulinzi wa Israel amesema wameizunguka Gaza na hawataruhusu Chakula, Umeme wala Mafuta kuingia
Tunapigana na Binadamu Wanyama sana na Sisi lazima tuwatendee hivyo hivyo, amesisitiza
Watanzania tuzidi kuwaombea ndugu Zetu wa Palestine!
Hakika [emoji26]Nawaombea sana, sababu unaweza kuta maamuzi ya kiongozi mmoja mpuuzi yanaathiri hata wasiohusika,
Na ndio uhalisia, si ajabu kukuta asilimia 99% ya wakazi wa Gaza hawakujua hata mipango ya hao viongozi wao kushambulia Israel, ila malipo wanalipa wao huku hao viongozi wapo mbali na eneo la tukio
Naona mji wa Sodoma & Gomora unaenda kupigwa kiberiti Mchana kweupe MUNGU kashakunja ndita hakuna hata sisimizi atakaebakia salama awamu hiiYoav Gallant Waziri wa Ulinzi wa Israel amesema wameizunguka Gaza na hawataruhusu Chakula, Umeme wala Mafuta kuingia
Tunapigana na Binadamu Wanyama sana na Sisi lazima tuwatendee hivyo hivyo, amesisitiza
Watanzania tuzidi kuwaombea ndugu Zetu wa Palestine!
Sina ndugu ukoYoav Gallant Waziri wa Ulinzi wa Israel amesema wameizunguka Gaza na hawataruhusu Chakula, Umeme wala Mafuta kuingia
Tunapigana na Binadamu Wanyama sana na Sisi lazima tuwatendee hivyo hivyo, amesisitiza
Watanzania tuzidi kuwaombea ndugu Zetu wa Palestine!
Aseeh mkuu Palestine wanastahil huruma ingawa wao ndio wameanza kuliamsha
Wenzio sasahvi wanakaangwa kama kuku wa kuchoma we unapiga kelele huku.😂 kijana poleni Muingereza na Mmarekani wote wanakimbilia kupeleka silaha walizo baki nazo, huyu Mhindi sasa anawaingiza waingereza kwenye balaa.
Badaye tutsakia Australia, Ufaransa, Canada na Japan wanapeleka silaha pia.
Nchi gani inajidai ina nguvu kumbe inategemea mataifa mengine, lakini Hamasi hawamuwezi wacha wakamsaidie huyo shoga lakini hashing vita.
Nilisha sema hapa zamani Israel hajawahi pigana vita bila kusaidiwa karibu tutakamata macommandor wa US na Uingereza wametekwa.
Hao vita vyao ni kwa ndege tu hawawezi vita vya chini Hamasi piga hao mashoga
Kumbuka wakimbizi wengi waliopo France ni kutoka Palestine ni waarabu kumbuka Uislam umeshika hatam FranceNimeshangazwa sana kwa kweli kuona stesheni maarufu ya habari ya nchini Ufaransa inayomilikiwa na serikali-France 24 ikiripoti na kuchambua mzozo wa Israel na Palestine tofauti kabisa kama vifanyavyo vyombo vingine vya magharibi ambavyo vinauelezea mzozo kwa kuegemea upande mmoja ambao wote mnaujua.
Yani hata takwimu wanazozitoa juu watu waliokufa, majeruhi,au waliotekwa (Palestinian and Israelis) zipo very accurate na zinazotolewa na vyombo vya ndani nchini Israel na Palestine.
Je, ni kwamba hakuna uhusiano mzuri baina ya Ufaransa na Israeli??View attachment 2776856
Mwingine huyu walimdaka jana na kichupi tu nahisi wameshamzibua mtaroHuyu gaidi lazima wampake mafuta! Wapalestina hawatakubali kubadilishana na yeyote maana wana hasira nae sana
Dah Mungu awapganie maana weng hawana hatiaBinafsi nimesikia huruma sana aisee, kuna sehemu miili ya watu imesambaratishwa, waliobaki wanachota miili kwa mikono kama vile wanachota maji au mchanga kwa mikono
Huruma ipi ukianzisha ugomvi jiangalie umejipangaje sio unalianzisha tu ukiangushiwa mbingu chini ya ardhi unaanza kulialiaAseeh mkuu Palestine wanastahil huruma ingawa wao ndio wameanza kuliamsha
Seems haujui watu wa race Ile mentality yaoAcha wang'antweng'atwe wameacha kuyakanyaga wakayatimba Sasa kinachofuata sitii neno hakuna Cha kulipa kisasi hapo ni kupata funzo tu remember Nagasaki & Heroshima toka lini Japan alijaribu hata kujibu mapigo na kulipa kisasi kuangusha Nuklia pale WDC au NY kapata fundisho
Ni fundisho kwa vizazi na vizazi usianzishe ugomvi wa Kifo ikiwa unatia hurumaIsisahaulike hii...
Wapalestina wengi ni dini mbili tu...waislam na wakristo....
Pamoja una hisia za kiimani ndani yake ila mgogoro huu haujakaa kidini hivyo inavyohisiwa.....
Pendekezo :
TWO STATE SOLUTION
#ShavuaTov[emoji120]
#YetzerHatov[emoji120]
Kwann unasema hawana hatia ,siwalipewa muda wakuondoka Gaza ,acha wavune wanayopanda wanaume zaoKuna watoto na wanawake wasio na hatia wanasababishiwa vifo bila sababu