Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hamna lolote, hapo popo wanaovizia watu wakasakwa na watakwisha kama mjomba wao Osama alivyonyonywa mate na US.Huu mwaka taifa teule wameyakanyaga, kweli nimeamini,
USIMUONE KOBE KAINAMA KUMBE ANATUNGA SHERIA.
Bado hawajaanza kulipa kisasi sasa wakianza itakuaje?hata kushusha ghorofa linakua kifusi.....
Na ifahamike bado hawajaanza kulipiza kisasi....................
. Kuandika kwa kutumia lugha ya kiingereza huo ni ujinga tosha ulio nao..Tipical Tanzanians,what a silly comment..!!what a silly person you are..
Thinking that the massacre of Palestine by israelies its like killing of cockroaches muslims,failing to understand that the conflict has got nothing in connection with christianity or the so called UKAFIR by myself..
My friend there are a lot of christians who are palestinians too,to think that palestianians are muslims and praising Jews as the Nation of God its the sign of your pure ignorance,wake up the Jews doesnt even recognize JESUS AS THEIR GOD,THE OF GOD OR OTHERWISE..
Kwani Hamas wao waliua nyani au Nguruwe walipovamia IsraelWAliofanya hicho kitendo ni Hamas walipiziwe wao siyo watoto na wanawake ambao hata bunduki hawaijui
Unaweza nionyesha airbase, military headquarters, naval base au military installation yoyote ya Hamas?Kama vile mnavyolaumu Russia kushambulia makazi ya watu ee 😂😂
Mimi sijaongelea dini wala collateral damage nmeongelea uhasama wa izo pande mbili kwa njia ya mtutu hautakaa uisheUsianzishe ugomvi wa Kifo ikiwa unatia huruma ukipelekewa Moto endelea kucheka km ulivyoanza kucheka usilie forget about religion we're talking about life & death right here
waeleze, hawajui kwamba GAZA sasa hivi ipo chini ya ulinzi yote - maji, umeme na anga lote limefungwa yaani ni kichapo cha mbwa koko - yaana Gaza muda huu ni sawa na kuku bandani.Mkae kwa kutulia. Israel hawafanyagi vitu kwa mihemuko, hasa pale jambo lenyewe linapokuja ki mihemko. Palestina mbona watakipata wanachokitafuta. Ni suala la muda tu.
Ndio ni wengi ile idadi ni approximation tu Ila idadi halisi ni Siri yao ndio maana hasira zimewakamataKijana pole sa warabu hawafich maiti zao wanaona sifa kuwa wamekufa kishujaa, sio waisrael wanablocked kila kitu hawatoi aibu zao ndio sanabu safari hi Hamasi wameingia na na camera ili Warecord ingekuwa hawajarecord Israel wangesema wamekufa watu wawili tu 😂 kama kawaida yao.
Taifa teule wacha wasubiri Ujeruman pia awapeleke silaha kama uingereza, Faransa, Canada, Australia,Japan na labda tutasikia na India pia 😂
Hi safari wanajidai wa kweli lakini bado hawasemi ukweli wote, wanaficha kusema wa Israel wangapi wamekufa hata kuna badhi ya wandishi wamagazeti ya Israel wanasema Israel anaficha numbers za ukweli,wanachosema cha ukweli labda ni 15% yawalio kufa na kujehuriwa.
Ndio acha zipigwe tuMimi sijaongelea dini wala collateral damage nmeongelea uhasama wa izo pande mbili kwa njia ya mtutu hautakaa uishe
[emoji1][emoji1]hakika jf ni kisima cha burdan. Hongera mkuu, hii imeipa siku burdan sawasawa hahaMagaidi mnapongezana ila ni mapema mno na safari hii ndio wale mabikra watakuwa na wakati mgumu sana kwani hiyo jehanamu yao itajaa mashahidi kibao. Ngoja tuone.
Jeshi lolote linalo tumia chakula kama silaha vitani ni jeshi daifu na,ni jeshi la hovyo kabisa ,yaani mnajiita mna jeshi bora kimapambano alafu mnategemea njaa iwasaidie kwenye mapambano.No food, no water, no gas, no electricity yani hawa Punguani kila kitu walikuwa wanategemea kwa watoto wa Yakobo. Wameyatimba vibaya sana, Gaza inapukutika, vigenge vyenu unavyoswalia vinachamvuliwa mpaka nondo moja moja.Mkong'to upo pale pale