The Worst
JF-Expert Member
- Sep 12, 2021
- 6,108
- 21,140
Naona tupo na waziri mkuu wa Israel humu.Wapigwe mpaka washike adabu
So mhishimiwa unakizungumziaje kichapo walichowachapa jamaa juzi,uongo m'baya mara hii wamewashika pabaya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona tupo na waziri mkuu wa Israel humu.Wapigwe mpaka washike adabu
Hata kama ni kweli, wamechelewa kuzitumia ikiwa ndiyo njia ya kuwamaliza magaidiSilaha hizo zinafahamika kama "white phosphorus bombs" ni aina ya incendiary weapons ambazo zina madhara makubwa ya kusabisha moto katika kila kitu itakachogusa na kukiyeyusha hata iwe chuma cha pua. Kwa binadamu madhara yake hayaelezeki.
Silaha hizo ni moja kati ya silaha zilizopigwa marufuku kutumika katika makazi wanamoishi watu au vitani na Umoja wa mataifa (UN).
Hii ni mara ya pili kwa Israel kutumia silaha hiyo ukanda wa Gaza. Mara ya kwanza ilikuwa ni katika mapigano ya 2008-2009 (Rain of Fire: Israel's Unlawful Use of White Phosphorus in Gaza)
View attachment 2776905View attachment 2776907View attachment 2776908View attachment 2776921View attachment 2776922
Source: PTVBreaking
Duhh..jamaa wamefanywa makange
Mkapa hakuvitaka kabisa vyama aina ya Hamas hapa Tanzaniasema ndugu zako, wewe na nani? stop those sweeping statements!
Sasa mkuu hata nikueleze kwa kihebrania chenyewe umeshasema unachukulia ni kama vitabu vya kina shaaban robert unataka nikwambie nini tena? ilhali hiyo Qur'an ni uteremsho kutoka kwa mola wa walimwengu wote, na imeeleza habari za tangu kabla ya baba wa wanadamu ambaye ni aadam amani iwe juu yake, sembuse habari za wajukuu wa ibraahim wa hapa majuzi?.Hapa Sasa Kuna tatizo, maana ulikuwa unaelezea historia halafu reference Yako ni Quran, nimechallenge tu kuhusu tarehe ya matukio unayoelezea na tarehe ya QURAN umesema nikawaulize tena hao Wana wa israel. Wakati Mimi nimekuuliza Wewe uliyekuwa unaelezea historia.
Tafadhali Nielezee kwa ushahidi hiyo historia.
Believe me, Mimi sio biased kivyovyote vile maana Sina interest na upande wowote hapo. I'm Purely Afrocentric.
Kwangu Mimi Quran,Biblia,Veda nk. Ni vitabu tu kama vitabu vya Shaban Robert au Ngugi wa thiong'
Picha za 2009
Inasikitisha sana.Hio Strategy itasababisha vifo vingi sana,na wengi watakufa kwa Njaa.
Wapelekeeni chakula, maji, umeme, silaha nk.Jeshi lolote linalo tumia chakula kama silaha vitani ni jeshi daifu na,ni jeshi la hovyo kabisa ,yaani mnajiita mna jeshi bora kimapambano alafu mnategemea njaa iwasaidie kwenye mapambano.
alafu hii sio mara ya kwanza kwa Israel kupigana na Hamas na ikafunga mipaka lakini wapalestina wali ishi.
Mimi ni MKRISTO PURE toka ninazaliwa, tumefundishwa anayeibariki Israel atabarikiwa na anayeilaani atalaaniwa.Yaani mshambulie kwa maroketi mkijibiwa mnaanza kuandika andika filosofia...
Mkapa kama nani?Mkapa hakuvitaka kabisa vyama aina ya Hamas hapa Tanzania
Kabla ya Isaka mtoto Alie zaliwa alikua anaitwa Ishmael ambaye Ibrahim alizaa na kijakazi wake ambaye alikua akiitwa hajiraKabla ya Isaka kuna mtoto alizaliwa tena wa kiume, unaweza kutueleza alienda wapi? Je alirithi nini?? La pili, Yakobo na kizazi chake walienda Misri, je kizazi cha Essau kilienda wapi?? Kumbuka mtoto wa kwanza wa Ibrahim naye alipata uzao.
this time we are almost there,, this has been planned with tactical mastermind IRAN. we angalia alafu uone wapalastina washakufa sana this time i promise you shit is real.Mkuu ni ukweli tunajua kuwa palestina anaonewa lakin hii haifanyi sote tuunge mkono upumbavu wa Hamas unaoenda kusababisha vifo vya watu wengi wa palestina wasio na hatia.