LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Mkae kwa kutulia. Israel hawafanyagi vitu kwa mihemuko, hasa pale jambo lenyewe linapokuja ki mihemko. Palestina mbona watakipata wanachokitafuta. Ni suala la muda tu.
 
No food, no water, no gas, no electricity yani hawa Punguani kila kitu walikuwa wanategemea kwa watoto wa Yakobo. Wameyatimba vibaya sana, Gaza inapukutika, vigenge vyenu unavyoswalia vinachamvuliwa mpaka nondo moja moja.Mkong'to upo pale pale
 
Huu mwaka taifa teule wameyakanyaga, kweli nimeamini,
USIMUONE KOBE KAINAMA KUMBE ANATUNGA SHERIA.
hamna lolote, hapo popo wanaovizia watu wakasakwa na watakwisha kama mjomba wao Osama alivyonyonywa mate na US.
 
Tipical Tanzanians,what a silly comment..!!what a silly person you are..

Thinking that the massacre of Palestine by israelies its like killing of cockroaches muslims,failing to understand that the conflict has got nothing in connection with christianity or the so called UKAFIR by myself..

My friend there are a lot of christians who are palestinians too,to think that palestianians are muslims and praising Jews as the Nation of God its the sign of your pure ignorance,wake up the Jews doesnt even recognize JESUS AS THEIR GOD,THE OF GOD OR OTHERWISE..
. Kuandika kwa kutumia lugha ya kiingereza huo ni ujinga tosha ulio nao..

. Watu waliaza kupigana sijui tangu mwaka 1948 huko... 😐😐, alafu leo unakuja play for????. Linda nchi yako.. Hao waache waboane mpaka wanapelea...
 
Kama vile mnavyolaumu Russia kushambulia makazi ya watu ee 😂😂
Unaweza nionyesha airbase, military headquarters, naval base au military installation yoyote ya Hamas?
Miundombinu ya Hamas ndio hiyohiyo miundombinu ya raia. Benki ya Hamas ni Islamic Bank of Gaza ni ya kiraia na imeharibiwa jana, benki hiyohiyo iliyokuwa inapokea misaada ya kimataifa ndio inapokea mchango wa kuendeleza ugaidi.
Majengo ya wakuu wa Hamas ndio majengo ya raia wa kawaida, hawana military barracks. Shule tena nyingine za UN, misikiti vyote hivyo wanatumia.

Hakuna kitu chochote kikubwa kinachomilikiwa na Hamas independently kasoro mahandaki.

Wakati huo military installations za Ukraine zinajulikana na bado zipo nyingi sana nchi nzima. Au ndege za Ukraine zinaruka kutokea chumbani?
 
Usianzishe ugomvi wa Kifo ikiwa unatia huruma ukipelekewa Moto endelea kucheka km ulivyoanza kucheka usilie forget about religion we're talking about life & death right here
Mimi sijaongelea dini wala collateral damage nmeongelea uhasama wa izo pande mbili kwa njia ya mtutu hautakaa uishe
 
Mkae kwa kutulia. Israel hawafanyagi vitu kwa mihemuko, hasa pale jambo lenyewe linapokuja ki mihemko. Palestina mbona watakipata wanachokitafuta. Ni suala la muda tu.
waeleze, hawajui kwamba GAZA sasa hivi ipo chini ya ulinzi yote - maji, umeme na anga lote limefungwa yaani ni kichapo cha mbwa koko - yaana Gaza muda huu ni sawa na kuku bandani.
 
Kijana pole sa warabu hawafich maiti zao wanaona sifa kuwa wamekufa kishujaa, sio waisrael wanablocked kila kitu hawatoi aibu zao ndio sanabu safari hi Hamasi wameingia na na camera ili Warecord ingekuwa hawajarecord Israel wangesema wamekufa watu wawili tu 😂 kama kawaida yao.

Taifa teule wacha wasubiri Ujeruman pia awapeleke silaha kama uingereza, Faransa, Canada, Australia,Japan na labda tutasikia na India pia 😂

Hi safari wanajidai wa kweli lakini bado hawasemi ukweli wote, wanaficha kusema wa Israel wangapi wamekufa hata kuna badhi ya wandishi wamagazeti ya Israel wanasema Israel anaficha numbers za ukweli,wanachosema cha ukweli labda ni 15% yawalio kufa na kujehuriwa.
Ndio ni wengi ile idadi ni approximation tu Ila idadi halisi ni Siri yao ndio maana hasira zimewakamata
 
Wapalestina wamepokonywa nchi yao tangu 1948. Israel imekalia kimabavu na kijeshi nchi ya Palestina kinyume na sheria ya kimataifa. tangu 1948 wamekuwa wakiwatesa na kuwaua Wapalestina wasio na hatia. Hivi sasa wapalestina 5000 wametiwa jela za israel wakiwemo watoto. Wewe ungetendewa hayo ungefanya nini. Ungekaa kimya?
 
Magaidi mnapongezana ila ni mapema mno na safari hii ndio wale mabikra watakuwa na wakati mgumu sana kwani hiyo jehanamu yao itajaa mashahidi kibao. Ngoja tuone.
[emoji1][emoji1]hakika jf ni kisima cha burdan. Hongera mkuu, hii imeipa siku burdan sawasawa haha
 
Screenshot_20231009-164327.png
Screenshot_20231009-164327.png
Screenshot_20231009-164333.png
 
Kuna vijana wajinga SANA, wao wanatanguliza mihemko ya imani zao kuliko utashi na weledi katika kujenga hoja.


Kitu kinachoitwa vita/baa la njaa sikia tu kwa jirani.

Kwenye vita huwa hakuna mshindi ila mnaamua kutumia meza ya duara kutafuta suluhu.

Mataifa ya Sudan, Rwanda, Msumbiji, Congo Dr, Ukraine, Israel, Palestina na West Africa, hali wanazopitia sio za kushabikia kijinga jinga hata sekunde moja.
 
No food, no water, no gas, no electricity yani hawa Punguani kila kitu walikuwa wanategemea kwa watoto wa Yakobo. Wameyatimba vibaya sana, Gaza inapukutika, vigenge vyenu unavyoswalia vinachamvuliwa mpaka nondo moja moja.Mkong'to upo pale pale
Jeshi lolote linalo tumia chakula kama silaha vitani ni jeshi daifu na,ni jeshi la hovyo kabisa ,yaani mnajiita mna jeshi bora kimapambano alafu mnategemea njaa iwasaidie kwenye mapambano.
alafu hii sio mara ya kwanza kwa Israel kupigana na Hamas na ikafunga mipaka lakini wapalestina wali ishi.
 
Back
Top Bottom